ngota wa nzambe
Senior Member
- Jul 28, 2015
- 121
- 136
Hapo sasa ndio wamepata faida gani?manyoko zao wacha wafe tu sifa za kipuuzi mwisho mauti. Na wake zao wametuachiaAngalia mwenyewe hapa, German machine inavyomuaibisha Crown athlete! Jamaa amemaliza sahani kabisa, lakini anapitwa kama amesimama vile! Lakini bahati mbaya jamaa walipoteza maisha mbele kidogo ya safari baada ya Crown kuwashinda!
R.I.P comrades..mbele yenu nyuma yetuView attachment 1706037
Juzi hao wamekulaa mzingaaa watatu wamefariki kapona mmoja... upuuzi wa kushindanaa speedHii video ni kama ya muda hivi.
Mimi ni kijana mkuu ila pigo za kiwaki namna hiyo huwa sina.Ujana ni very risk,imagine waliopo kwenye hiyo gari pamoja na mleta uzi wanashangilia upumbavu!Asante Mungu kwa kuwa sasa hivi nimezeeka.
Ni ya muda sana mkuu, mimi niliiona mwaka jana (2020) around mwezi wa 6/7 hiviHii video ni kama ya muda hivi.
Angalia mwenyewe hapa, German machine inavyomuaibisha Crown athlete! Jamaa amemaliza sahani kabisa, lakini anapitwa kama amesimama vile! Lakini bahati mbaya jamaa walipoteza maisha mbele kidogo ya safari baada ya Crown kuwashinda!
R.I.P comrades..mbele yenu nyuma yetuView attachment 1706037
Nomaa sana yaniiiii........
Dakika chache kabla ya ajaliNomaa sana yaniiiii........
Mkuu lliyopata ajali ni hiyo chuma iliyowapita shaa au hii ambayo kuna sauti nzuri ya binti?Dakika chache kabla ya ajaliView attachment 1706143
Hiyo yenye sauti ni crown aliyesalimika huyu hapa kati ya waneMkuu lliyopata ajali ni hiyo chuma iliyowapita shaa au hii ambayo kuna sauti nzuri ya binti?
Japanese machines ni UTOPOLO ULIOCHANGAMKAAngalia mwenyewe hapa, German machine inavyomuaibisha Crown athlete! Jamaa amemaliza sahani kabisa, lakini anapitwa kama amesimama vile! Lakini bahati mbaya jamaa walipoteza maisha mbele kidogo ya safari baada ya Crown kuwashinda!
R.I.P comrades..mbele yenu nyuma yetuView attachment 1706037
hapo mleta Mada kachanganya clip labda ana lengo lake, lkn kusema ni crown iliyopitwa na BMW haihusiani je hii ya Beka ya Dodoma ni ya mwaka gani?Hii video ni kama ya muda hivi.
hii clip huenda ikawa ya 2018 au mwanzoni mwa 2019,Ni ya muda sana mkuu, mimi niliiona mwaka jana (2020) around mwezi wa 6/7 hivi