BMW vs Crown Athlete

BMW vs Crown Athlete

ngota wa nzambe

Senior Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
121
Reaction score
136
Angalia mwenyewe hapa, German machine inavyomuaibisha Crown athlete! Jamaa amemaliza sahani kabisa, lakini anapitwa kama amesimama vile! Lakini bahati mbaya jamaa walipoteza maisha mbele kidogo ya safari baada ya Crown kuwashinda!
R.I.P comrades..mbele yenu nyuma yetu
 
Angalia mwenyewe hapa, German machine inavyomuaibisha Crown athlete! Jamaa amemaliza sahani kabisa, lakini anapitwa kama amesimama vile! Lakini bahati mbaya jamaa walipoteza maisha mbele kidogo ya safari baada ya Crown kuwashinda!
R.I.P comrades..mbele yenu nyuma yetuView attachment 1706037
Hapo sasa ndio wamepata faida gani?manyoko zao wacha wafe tu sifa za kipuuzi mwisho mauti. Na wake zao wametuachia
 
Angalia mwenyewe hapa, German machine inavyomuaibisha Crown athlete! Jamaa amemaliza sahani kabisa, lakini anapitwa kama amesimama vile! Lakini bahati mbaya jamaa walipoteza maisha mbele kidogo ya safari baada ya Crown kuwashinda!
R.I.P comrades..mbele yenu nyuma yetuView attachment 1706037
 
Mkuu lliyopata ajali ni hiyo chuma iliyowapita shaa au hii ambayo kuna sauti nzuri ya binti?
Hiyo yenye sauti ni crown aliyesalimika huyu hapa kati ya wane
IMG-20210219-WA0124.jpg
 
Angalia mwenyewe hapa, German machine inavyomuaibisha Crown athlete! Jamaa amemaliza sahani kabisa, lakini anapitwa kama amesimama vile! Lakini bahati mbaya jamaa walipoteza maisha mbele kidogo ya safari baada ya Crown kuwashinda!
R.I.P comrades..mbele yenu nyuma yetuView attachment 1706037
Japanese machines ni UTOPOLO ULIOCHANGAMKA
 
Hii video ni kama ya muda hivi.
hapo mleta Mada kachanganya clip labda ana lengo lake, lkn kusema ni crown iliyopitwa na BMW haihusiani je hii ya Beka ya Dodoma ni ya mwaka gani?
Ni ya muda sana mkuu, mimi niliiona mwaka jana (2020) around mwezi wa 6/7 hivi
hii clip huenda ikawa ya 2018 au mwanzoni mwa 2019,
mm niliitumia katika Mada ya Mshana Jr Toyota hizi Mei 2019 post #344
 
dah yani mimi ninavyoogopa kuondoka hapa duniani kabla ya kukamilisha malengo yangu,wengine wanajitafutia vifo kwa mizaa.
 
Back
Top Bottom