Hao wa crown ndo waliopata ajali?Juzi hao wamekulaa mzingaaa watatu wamefariki kapona mmoja... upuuzi wa kushindanaa speed
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Ni ya muda sana mkuu, mimi niliiona mwaka jana (2020) around mwezi wa 6/7 hivi
Lakini hyo video wanayopitwa na hiyo gari ni yamwaka jana mwanzoni kabisa niliionaJuzi hao wamekulaa mzingaaa watatu wamefariki kapona mmoja... upuuzi wa kushindanaa speed
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Video ni hii ya ajaliHiyo yenye sauti ni crown aliyesalimika huyu hapa kati ya waneView attachment 1706147
hapo mleta Mada kachanganya clip labda ana lengo lake, lkn kusema ni crown iliyopitwa na BMW haihusiani je hii ya Beka ya Dodoma ni ya mwaka gani?
hii clip huenda ikawa ya 2018 au mwanzoni mwa 2019,
mm niliitumia katika Mada ya Mshana Jr Toyota hizi Mei 2019 post #344
Toyota hizi...!
Shida ya online inachukua muda kidogo kufika na mimi kwa tabia yangu siwezi kukaa na gari mwezi imepaki roho inauma kama Nina mgonjwa vile ,halafu mashabiki nao wanakulegeza wanakwambia tulisema hii gari utaipaki tuuu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Kuna kitu umenikumbusha Ila usiishi kwa...www.jamiiforums.com
Nitumie video pls nioneHii video ni kama ya muda hivi.
Nitumie video pls nioneHii video yake aliyosalimika nimeona sema najiuliza ilikua siku moja na hiyo au laVideo ni hii ya ajaliView attachment 1706171
Hiyo video ya crown inakatwa na polo niliiona muda sanaJuzi hao wamekulaa mzingaaa watatu wamefariki kapona mmoja... upuuzi wa kushindanaa speed
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Sauti tamu ile, imeniamsha ..Mkuu lliyopata ajali ni hiyo chuma iliyowapita shaa au hii ambayo kuna sauti nzuri ya binti?
Mkuu aliyopasuka pasuka ni mjerumani.. wenye Crown wapo sasa hivi wanakula mtoriJapanese machines ni UTOPOLO ULIOCHANGAMKA
Hapana ni wenye BMW wenye crown sasa hivi wanalea watotoHao wa crown ndo waliopata ajali?
Mbona hapo mbele ya hiyo gari yenye ajali naona zile nyavu za crown?Mkuu aliyopasuka pasuka ni mjerumani.. wenye Crown wapo sasa hivi wanakula mtori
Mazee kifo cha namna hii ni kibaya sana!Dakika chache kabla ya ajaliView attachment 1706143
Mkuu aliyopasuka pasuka ni mjerumani.. wenye Crown wapo sasa hivi wanakula mtori
Mbona hapo mbele ya hiyo gari yenye ajali naona zile nyavu za crown?
RIP in advance nduguMbele ya sauti nzuri tena,majibaba tunamaliza kisahani.
Aliyekuambia BM inadondoka kizembe ni nani!?Yes ni crown mnyama audondoki kizembe...speed 200 breki sekunde imesimama [emoji91][emoji91][emoji91]