BMW vs Crown Athlete

BMW vs Crown Athlete

Uko sahihi mi niliona kabla ya corona labda iwe walipata ajali siku nyingine...nafikiri video ya ajali ni hii ila sidhani kama siku hiyo
hapo mleta Mada kachanganya clip labda ana lengo lake, lkn kusema ni crown iliyopitwa na BMW haihusiani je hii ya Beka ya Dodoma ni ya mwaka gani?

hii clip huenda ikawa ya 2018 au mwanzoni mwa 2019,
mm niliitumia katika Mada ya Mshana Jr Toyota hizi Mei 2019 post #344
 
Back
Top Bottom