BMW vs Crown Athlete

Mkuu nimesahau kuweka koma....nilikua nasema hiyo iliyoanguka ni Crown..mnyama German machine hazianguki kizembe..


Samahani mkuu wangu usije ukanipiga mikwaju[emoji16][emoji16]
Aliyekuambia BM inadondoka kizembe ni nani!?
 
Dakika chache kabla ya ajaliView attachment 1706143

Nimeiangalia hii clip kwa umakini mnoo, nimegungua kilichosababisha ajali ni hiyo style alioshika usukani, yaani kwa speed hiyo anaishika steering kama yuko 20km/hr? Likitolea tukio la gjafra mbele huwezi kui control gari kwa sababu Hands, body & foots havina ushirikiano na hiyo speed.

Kuna haja ya madereva kupeana masomo ya driving skills humu.

Pengine hiyo sauti tamu imechangia kumjaza kichwa driver, akajiona yeye ndie sterling kwenye movie hawezi kufa.

Ajali ya kizembe sana.
 
wadau hizi video ni tofauti kabisa , hiyo ya becka ni lastweek na hiyo nyingine ni ya zamani sana
 
mzee baba haya ni matukio mawili tofauti na kwa mwaka tofauti
 

Hao walio kwenye crown sio waliopata ajali hizo ni video 2 tofauti
 
Iliowapita ni VW si bmw, ni hizi VW kama sio Gti ni polo...
Sikufahamu kama hutu tugari tunachanganya hivi......

RIP...
 
Volkswagen golf GTi speed 300 alafu ni turbo...haya matoyota sio ya kufanya ligi na mashine za ulaya
Asee sikujua kama hivi vi gti vinatembea kiasi hicho...
Nasikiaga wanasema v8 ukikutana nayo kwenye trip huwa ni shida... lakini kwa hii gti v8 inasalimu amri....
 
Asee sikujua kama hivi vi gti vinatembea kiasi hicho...
Nasikiaga wanasema v8 ukikutana nayo kwenye trip huwa ni shida... lakini kwa hii gti v8 inasalimu amri....
Volkswagen zinachanganya mapema kwasabb ya gear box zao za DSG hata hiyo V8 inapata tabu na kuachwa na Volkswagen Tuareg au Volkswagen amarok...

Angalia hiyo dashboard ya GTi

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…