PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Hatari Sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari Sana
Shikamoo babu ChakoriiUjana ni very risk,imagine waliopo kwenye hiyo gari pamoja na mleta uzi wanashangilia upumbavu!Asante Mungu kwa kuwa sasa hivi nimezeeka.
🤣🤣🤣Shikamoo babu Chakorii
Aliyekuambia BM inadondoka kizembe ni nani!?
Namfaham huyu jamaa (Long Story)
Ujana Kazi Sana.
Tuwe na Kiasi....ujuaji / much know / makuzi hayafai na si ujanja.
Kwanza hio sio BMW ni VWHapana ni wenye BMW wenye crown sasa hivi wanalea watoto
Dakika chache kabla ya ajaliView attachment 1706143
wadau hizi video ni tofauti kabisa , hiyo ya becka ni lastweek na hiyo nyingine ni ya zamani sanaNimeiangalia hii clip kwa umakini mnoo, nimegungua kilichosababisha ajali ni hiyo style alioshika usukani, yaani kwa speed hiyo anaishika steering kama yuko 20km/hr? Likitolea tukio la gjafra mbele huwezi kui control gari kwa sababu Hands, body & foots havina ushirikiano na hiyo speed.
Kuna haja ya madereva kupeana masomo ya driving skills humu.
Pengine hiyo sauti tamu imechangia kumjaza kichwa driver, akajiona yeye ndie sterling kwenye movie hawezi kufa.
Ajali ya kizembe sana.
mzee baba haya ni matukio mawili tofauti na kwa mwaka tofautiAngalia mwenyewe hapa, German machine inavyomuaibisha Crown athlete! Jamaa amemaliza sahani kabisa, lakini anapitwa kama amesimama vile! Lakini bahati mbaya jamaa walipoteza maisha mbele kidogo ya safari baada ya Crown kuwashinda!
R.I.P comrades..mbele yenu nyuma yetuView attachment 1706037
Wabongo utawaweza kwa kupika habari, walishamzushiaga yule jaa wa Mark X kafa wakati jamaa yuko zake Moro anaendelea na maisha tu.wadau hizi video ni tofauti kabisa , hiyo ya becka ni lastweek na hiyo nyingine ni ya zamani sana
Hii ajali ni crown niliikuta pale lunch ya narco Dodoma mwezi huu tarehe 16 ukianza yale matuta ya mule ukitokea kibaigwa
Angalia mwenyewe hapa, German machine inavyomuaibisha Crown athlete! Jamaa amemaliza sahani kabisa, lakini anapitwa kama amesimama vile! Lakini bahati mbaya jamaa walipoteza maisha mbele kidogo ya safari baada ya Crown kuwashinda!
R.I.P comrades..mbele yenu nyuma yetuView attachment 1706037
Iliowapita ni VW si bmw, ni hizi VW kama sio Gti ni polo...Angalia mwenyewe hapa, German machine inavyomuaibisha Crown athlete! Jamaa amemaliza sahani kabisa, lakini anapitwa kama amesimama vile! Lakini bahati mbaya jamaa walipoteza maisha mbele kidogo ya safari baada ya Crown kuwashinda!
R.I.P comrades..mbele yenu nyuma yetuView attachment 1706037
Mkuu umepuyanga. Hii video ya siku nyingi. Hii Crown ipo na hio VW Golf GTi ipo. Crown iliopata ajali ni ingine na matukio haya yamepushana zaidi ya mwaka.Dakika chache kabla ya ajaliView attachment 1706143
Asee sikujua kama hivi vi gti vinatembea kiasi hicho...Volkswagen golf GTi speed 300 alafu ni turbo...haya matoyota sio ya kufanya ligi na mashine za ulaya
Volkswagen zinachanganya mapema kwasabb ya gear box zao za DSG hata hiyo V8 inapata tabu na kuachwa na Volkswagen Tuareg au Volkswagen amarok...Asee sikujua kama hivi vi gti vinatembea kiasi hicho...
Nasikiaga wanasema v8 ukikutana nayo kwenye trip huwa ni shida... lakini kwa hii gti v8 inasalimu amri....
Aisee!! 300??Volkswagen zinachanganya mapema kwasabb ya gear box zao za DSG hata hiyo V8 inapata tabu na kuachwa na Volkswagen Tuareg au Volkswagen amarok...
Angalia hiyo dashboard ya GTi
View attachment 1912534
Kupata kama haka Odo haijasoma sana at least below 80000 ni kiasi gani mkuu?Volkswagen zinachanganya mapema kwasabb ya gear box zao za DSG hata hiyo V8 inapata tabu na kuachwa na Volkswagen Tuareg au Volkswagen amarok...
Angalia hiyo dashboard ya GTi
View attachment 1912534