BMW X1 aka Baby BMW SUV

βœ…
 
Gari ni IST ukiwasha AC ikiwa kwenye mwendo haina changamoto ila Ukisimama Gari inavibrate balaaa...!! Shida nini hapo??
 
Hasa zile za 1200cc
Nazani engine inazidiwa hasa kama umefunga android+mziki.
Kuna uhusiano kati ya Android music na engine???? Maana najua music unatumia betri..[emoji16][emoji16]
 
Kuna uhusiano kati ya Android music na engine???? Maana najua music unatumia betri..[emoji16][emoji16]

Sina utaalamu zaid
Lakini nlitoa speaker 1000W gari ikatulia[emoji23]

Kwahiyo nikahisi issue hapa ilikuwa mziki
 
Yes hapo fundi naye hajaweka michuzi yake,
Ni mwaka sasa tangu uzi huu utengenezwe, na imani tutakuwa tumejifunza mengi.
Je tujilipue na X1 au tuendelee kula reasearch?

Kwa uzoefu wako gharama ya maintenance ni kiasi gani kila baada ya muda gani kwa mtumiaji ambaye anatembea 20000km kwa mwaka ambapo 85% kwenye rami 15% off road?
 

Jilipue na X1 au model yeyote yenye engine hizi, Diesel engine codes N47T(N47D20C) or B47 or B57 kama Petrol engine codes B58 or B48; Maintenance::: Engine Oil: 40k per litre (LiquiMoly), filter haizidi 40k, service kms 5,000::: ukifanya service 4 kwa mwaka, 1,200,000 Tshs; ongezea na air filters/ac filters, na other costs, haizidi 1,500,000 kwa mwaka.
 
Shukrani kiongozi kwa muongozo.
Ngoja tujilipue πŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…