BMW X5: Mwenye kuijua!

BMW X5: Mwenye kuijua!

Jana nimeiona X 5 moja mitaa ya Pritchard Street aisee ni gari kweli Bima wapo vizuri sana ile kazi ina rim nzuri rangi nzuri na inaonekana ya miaka ya karibuni ngoja nikipita pita kwenye maeneo yangu ntaikuta huko..
 
Back
Top Bottom