BMW x5 na Volkswagen Tourage v6

BMW x5 na Volkswagen Tourage v6

Nadhani Zote sawa, japo nimesekia kwamba, X5 nyingi ni changamoto sana.

Pia hata bei yake haitofautiani sana.
Zote zina range from 24mil pamoja na usajili
 
Kumbe hizi gari zimeshuka bei kiasi hiki!
Ya mwaka gani? Unajua magari ya ulaya miaka ya 2005 kwao ni mbali sana ni sawa yakishuka bei.
download (27).jpeg
 
Back
Top Bottom