BMW x5 na Volkswagen Tourage v6

BMW x5 na Volkswagen Tourage v6

Hivi hizo gari zipo Tanzania pekee au vipi mbona Ulaya. Huku Ujerumani hamna mtu analia hayo machozi ya 100k. Wabongo ni kukimbia service. Gari sio bahari useme inajitegemeza
Achana na Ulaya,Kenya hapo zimejaa kibao. Wabongo utawaweza. Halafu wanazungumzia 100,000km ambayo ni kama 60,000miles tu gari mbichi kabisa.
 
Kweli kila MTU anakuwa anapenda kitu Fulani maana Mimi nikipishana na Volkswagen tourage huwa napunguza mwendo ili niichek vizuri hiyo chuma ni 8 speed transmission alafu ni DSG(direct shift transmission).
Kuanzia maporini Hadi mjini hii mashine iko vizuri sana,hii gari ndiyo gari ya ndoto zangu
Tdi v6 hutojutia lakini husijaribu kuchukua v5 hiyo ni balaa kama mgonjwa wa kansa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Acha wakaze majuto ni mjukuu. Kuna jamaa yangu aliingiza VW baada ya wiki gia zikagoma kuchange tulishinda geteji siku mbili mfululizo; sijui saa hizi huko aliko Ina gali gani maana niliacha bado anahangaika nayo
Vw gani mkuu ? Na uko mkoa gani? Ninayo huu mwaka wa nane zaid ya kumwaga oil sijaona tatizo lake. Ila kimbembe uweke mafuta ya videbe ama petrol pump zisizoeleweka ndio utajutia.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom