RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Achana na Ulaya,Kenya hapo zimejaa kibao. Wabongo utawaweza. Halafu wanazungumzia 100,000km ambayo ni kama 60,000miles tu gari mbichi kabisa.Hivi hizo gari zipo Tanzania pekee au vipi mbona Ulaya. Huku Ujerumani hamna mtu analia hayo machozi ya 100k. Wabongo ni kukimbia service. Gari sio bahari useme inajitegemeza