Pia hata bei yake haitofautiani sana.
Zote zina range from 24mil pamoja na usajili
Naam, maana miaka imekwenda. Nyingi zinaanzia hapo saa hivi.Kumbe hizi gari zimeshuka bei kiasi hiki!
Naam, maana miaka imekwenda. Nyingi zinaanzia hapo saa hivi.
Ya mwaka gani? Unajua magari ya ulaya miaka ya 2005 kwao ni mbali sana ni sawa yakishuka bei.Kumbe hizi gari zimeshuka bei kiasi hiki!
Hazifiki 2006Hizo ni za mwaka gani?
Itakuwa anasemea X3 za changamoto. BMW X5 sio kwa hiyo bei labda kama iliyo poozaKumbe hizi gari zimeshuka bei kiasi hiki!
Itakuwa anasemea X3 za changamoto. BMW X5 sio kwa hiyo bei labda kama iliyo pooza
Hazifiki 2006
X5 zipo kama version 8 hivi.Ngoja nipitie calculator ya 'tiharaei', maana mi najua ushuru tu wa X5 angalau ya miaka 10 nyuma ni kama 23 hadi 25mil hapo...
Wewe muuza/muagizaji magari unamshauri mtu achukue X5 ya 2006?!111Hazifiki 2006
Kama unaweza chukua X5 au Touareg ya kuanzia 2015 na kuendelea. Kama huwezi achana nazo.Wakuu nafikiria kuchukua mojawapo kati ya gari tajwa hapo juu wazoefu ipi inafaa zaidi