Narudia, ni vizuri hunijuwi. My family background iko known hivyo sina haja ya ubishano, amini utakacho. Wenzako wanaonifahamu wanakucheka.
watanicheka kama wana akili kama zako...i know a lot of peeps who buy brand new cars and i've done that for some of them....they dont have time to travel to europe to buy a car!!!!
watanicheka kama wana akili kama zako...i know a lot of peeps who buy brand new cars and i've done that for some of them....they dont have time to travel to europe to buy a car!!!!
Dude....I live there and here. I don't just travel for that but when I need to, I do so.
Mi naijua mkuu, mwenye nayo anakaa Mikocheni.
ukimsikia MOSES ONE ndo mwenye gari hiyo yuko hapo Mikocheni
Mkuu, ni vizuri hatujuani but my family background has my back....siyo kama najitia gundu mbona wanaonifahamu humu JF wanaona kawaida na hawasemi kitu?
mmmh wanakufahamu na hiyo id fake
Do not out think yourself.....they know me maana kwamba hata my ID ya JF wanaijuwa kwani mara nyingi nina comment mbele yao na kwa msaada wao pia.
Hii misifa hadi raha lemutuz ni kaka ako nini Jamaa
ukimsikia MOSES ONE ndo mwenye gari hiyo yuko hapo Mikocheni