sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,847
Sijawahi kuwa na gari mtumba maishani mwangu...NEVER. Kila baada ya miaka 4 nakwenda chagua lingine show room majuu na wala si Dubai.
hiyo nyingine niuzie mie....(kidding)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi kuwa na gari mtumba maishani mwangu...NEVER. Kila baada ya miaka 4 nakwenda chagua lingine show room majuu na wala si Dubai.
As for me nawaombea kheri tuu. Koz kiukwely katka couple ambayo inanikera ni hii. Wema ni msichana mrembo sana ila anazidiwa akili na watu ambao anawazidi iq. Yaan kitendo cha wema kutoka na diamond ni kujidharirisha hajui tu. Halafu nikiona mtoto kama lulu anaweka mambo yake private anafanya mambo kimya kimya jmn natamani ile akili angepewa wema. Hili li diamond hapana kiukwely i wish amuache wema ye aendeleze ujinga wake. Kwely penzi ni upofu jmn.
Sijawahi kuwa na gari mtumba maishani mwangu...NEVER. Kila baada ya miaka 4 nakwenda chagua lingine show room majuu na wala si Dubai.
Sijawahi kuwa na gari mtumba maishani mwangu...NEVER. Kila baada ya miaka 4 nakwenda chagua lingine show room majuu na wala si Dubai.
hiyo nyingine niuzie mie....(kidding)
weka hapa chasis number ya gari yako mpya uliyonunua hivi karibuni na useme umenunua wapi. i will trace it where it came from kama aliuziwa john smith miaka 7 iliopita?
Lol,,,,wewe ni mmoja wa wale wazee wa chasis? Ninaelewa kazi yenu, samahani sitoweza weka hiyo chasis namba.
Sijawahi kuwa na gari mtumba maishani mwangu...NEVER. Kila baada ya miaka 4 nakwenda chagua lingine show room majuu na wala si Dubai.
Wacha wee, watu wa mbwembwe kama wewe hata pikipiki sun lg huna.
Uende majuu kufanya nini wakati Bongo kuna show room za Toyota Tanzania na DT Dobie?
Kamdanganye mjinga mwenzako upuuzi huu.
hongera zako aiseee
weka hapa chasis number ya gari yako mpya uliyonunua hivi karibuni na useme umenunua wapi. i will trace it where it came from kama aliuziwa john smith miaka 7 iliopita?
gari mpya ya huko unakosema umenunua hata ukimpa mtu chasis number hawezi kufanya chochote......hata ukienda kwa fundi unatoa chasis number so whts the big deal??? kwa mafundi ziko nyingi tu kama zingekuwa deal watu wangezifuata huko.
Huyo ni fukara tu anajifariji, watu wanaoleta magari yao kwa Cargo plane hawana kelele.
gari mpya ya huko unakosema umenunua hata ukimpa mtu chasis number hawezi kufanya chochote......hata ukienda kwa fundi unatoa chasis number so whts the big deal??? kwa mafundi ziko nyingi tu kama zingekuwa deal watu wangezifuata huko.
Wacha wee, watu wa mbwembwe kama wewe hata pikipiki sun lg huna.
Uende majuu kufanya nini wakati Bongo kuna show room za Toyota Tanzania na DT Dobie?
Kamdanganye mjinga mwenzako upuuzi huu.
Nilikuwa nasoma huko kwa miaka 5. Niliporudi nikaja na magari yangu, since then kwa kuwa mambo yananiendea vizuri huwa nakwenda kuchukua gari kama sina akili vile......ropoka tena.

unajitia gundu mwenyewe!utakosa hata huo mkopo unaofuatilia ili utafute gari la milioni tano.....
wewe usome wapi uje na gari mpya kwa hela gani uliyokuwa nayo?? hata scholarship huwezi kununua gari ya maana mpya uje nayo.....weka chasis number hapa unaogopa nini? ukachukue gari gani wewe acha stori za vijiweni huko