BMW X6 gari alilopewa Diamond kama zawadi ya Birthday

BMW X6 gari alilopewa Diamond kama zawadi ya Birthday

Yap nimeponda kweli haiwezekani msanii kama diamond kuwa na toyota,nachosema hapa ni sifa za kijinga kuazima gari la mtu kuja kurusha team za instagram,hiyo gari bmw x6 sio la diamond ni maigizo kama v8 la chief kiumbe,auze prado lake aende brands za masupa star aachane na matoyo hayo matoyo ni kwa sie pangu pakavu tia mchuzi.

wewe ata baiskeli hauna mbona haujifichi.
 
Nilijua ni gari jipya, kumbe ni used ya hapa hapa Bongo, hongera zake lakini.
Na ile nyumba yake nayo ndio bado haijaisha tu? Au anajenga nyumba kubwa sana kama ile ya Bakhressa ya Masaki iliyo jirani na nyumba ya Lowassa aliyompangisha Balozi wa SA?
Ova
 
Mawazo ya kimaskini kama haya nayachukia mimi basi tu. Nyumba nyumba nyumba nyumba nyumbaaaaaa unakuta mtu una miaka 35 unadai nyumba..life yenyewe kufika 50 ni ishu life is living once sio lazima kuwa na nyumba na hakuna aliewahi kujenga nyumba akamaliza..kula maisha tu sio lazima uwe na nyumba.

Siamini ninayoyaskia kutoka kwako, kwani nyumba lazima uishi wewe??
 
Siamini ninayoyaskia kutoka kwako, kwani nyumba lazima uishi wewe??

mkuu labda kuna wadudu wanamtafuna..ndo maana kufikisha 50yrs anaona km ndoto. Aishi kwa matumaini... nyumba ukijenga si lazima uishi ww tu.
 
hatukuwa wote nkizisaka iweje unipangie jinsi ya kutumia.
Huu msemo niliusikia kwenye track ya Ngwair- RIP na una ujumbe mzito.
 
ila sina wivu kama wewe.

mkuu sina wivu kabisa machalii wanatupeperushia vyema bendera ya taifa letu we kwa akili yako fikiria hatuna tena mtu yoyote anayetuwakilisha vema kimataifa zaidi ya Diamond alafu nimchukie ili iweje mkuu naomba ufute hiyo kauli yako moyoni mwako nadhani ulinielwa vibaya
 
Hii gari imeshashuka mpaka mil 60 hii tena ni ya 2005 lakini safi zawadi ni zawadi
 
Nilijua ni gari jipya, kumbe ni used ya hapa hapa Bongo, hongera zake lakini.
Na ile nyumba yake nayo ndio bado haijaisha tu? Au anajenga nyumba kubwa sana kama ile ya Bakhressa ya Masaki iliyo jirani na nyumba ya Lowassa aliyompangisha Balozi wa SA?
Ova

Angekua na nyumba kma ya mzee w tubonge Ingekua shidaa
 

Attachments

  • 1412455642582.jpg
    1412455642582.jpg
    58.8 KB · Views: 539
Paula kilaki, kwa kuongezea tu, gari inafika muda value yake inafika zero, maana inadepreciate kila siku/ mwaka. ina life time, muda ukifika na thamani haina. kuna assets zisizohamishika na zinazohamishika pia (kama shares) ambazo kama unafanya analysis vizuri utagundua thamani zake hazishuki, bali zinaongezeka kila mwaka. Nyie watu na wasanii wenu mwahitaji shule kuhusu investments.
Hata share nazo zinaporomoka mbona marekani uchumi wake uliporomoka mwaka juzi lakini walikuwa wamejiashure mambo yapo safi mwacheni kijana sasa ni mda wake wa kukamua....
 
sasa kinachowauma ninyi ni kwa vile wamempa gari badala ya kumpa nini mlichotaka nyie apewe???? wanafki wakubwaaaaa, hamjui hata muongee nini mnajing'atang'ata tu ili mradi tuu nanyi muonekane mmecoment.
Eti wahoji hakuna zawadi yenye thamani zaidi ya gari,??? kwa taarifa yako hakuna chenye dhamani zaidi ya PUMZI chini ya jua, na unachodhani kina dhamani kwako kwa mwingine ni useless. tena kwenye Bday unampangia mtu zawadi?? wewe yako ulipewa nini?? si ajabu hujawahi hata kufanya.

tena gari ni zawadi yenye thamani kubwa zaidi iliokwisha tolewa kwenye Bday wengi wao huishia kupewa maua, chocolate, chupi/boxer, na apples. mmekosa vya kuongea sasa mnahoji uthamani wa zawadi, rudini nyuma muwapishe watu wakae.

Take it very easy..hata usipopayuka tutakuelewa tu.
 
Back
Top Bottom