venine
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 1,458
- 1,569
and I didn't mention nyumba... wenyewe waliongelea gari kama investments... mi nikasema nimesema kuna asstes nyingi zinazohamishika na zisizohamishika ambazo zinaongezeka values kila kukicha.Mawazo ya kimaskini kama haya nayachukia mimi basi tu. Nyumba nyumba nyumba nyumba nyumbaaaaaa unakuta mtu una miaka 35 unadai nyumba..life yenyewe kufika 50 ni ishu life is living once sio lazima kuwa na nyumba na hakuna aliewahi kujenga nyumba akamaliza..kula maisha tu sio lazima uwe na nyumba.
wakiwa na different assets na wakazimanage vizuri, hizo assets zitawasaidia kununua magari yenye matairi yasiyo na vipara. Angalia Chameleon wa Uganda alivyojiongea kipato kwa ku-invest kwenye real assets.
hapo kwenye bold..... kuwa na other assets au good diversification strategy kwenye investments zako haimaanishi kwamba hauli maisha