Habari ya Mujini
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 2,517
- 1,044
Wangempa hati ya kiwanja au ya nyumba ningewaelewa...!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gari sio asset ndugu yangu.. linakugharimu kila kukicha na thamani yake inashuka daily.
Naweza kusema ni liability lolz
Asset ni kama kiwanja, nyumba n.k.
Paula kilaki, kwa kuongezea tu, gari inafika muda value yake inafika zero, maana inadepreciate kila siku/ mwaka. ina life time, muda ukifika na thamani haina. kuna assets zisizohamishika na zinazohamishika pia (kama shares) ambazo kama unafanya analysis vizuri utagundua thamani zake hazishuki, bali zinaongezeka kila mwaka. Nyie watu na wasanii wenu mwahitaji shule kuhusu investments.Gari sio asset ndugu yangu.. linakugharimu kila kukicha na thamani yake inashuka daily.
Naweza kusema ni liability lolz
Asset ni kama kiwanja, nyumba n.k.
hawa watu wanadhani wao ndio wa kwanza kununua magari hapa TZ... wawadanganye hao followers wao, lolHamna gari ya milioni 90 pale
Birthday imegarimu milion 28 duuuu
Eti taarifa ya habari clouds tv wametangaza hii kitu. ..eti birthday ya diamond yagharimu mil 28...
Hii ndo Tanzania
Dinazarde uliangalia habari?
Paula kilaki, kwa kuongezea tu, gari inafika muda value yake inafika zero, maana inadepreciate kila siku/ mwaka. ina life time, muda ukifika na thamani haina. kuna assets zisizohamishika na zinazohamishika pia (kama shares) ambazo kama unafanya analysis vizuri utagundua thamani zake hazishuki, bali zinaongezeka kila mwaka. Nyie watu na wasanii wenu mwahitaji shule kuhusu investments.
Tumeshawazoea maisha yao fekero tu halafu wa2 wanaona tunawachukia,hyo gari ni yke kajipa mwenyewe mimi nlitegemea jana anahamia kwake.
Hyo pati nimeona kuku watamu kibao cjui nae walewale
endeleeni kuwapangia watu vitu vya kufanya, manake kupanga vyenu mmeshashindwa.Achana nae huyo Paula kilaki katumwa aje amjibie
Achana nae huyo Paula kilaki katumwa aje amjibie
Hebu define asset then ndio urudi tena utuambie gari sio asset.
Mawazo ya kimaskini kama haya nayachukia mimi basi tu. Nyumba nyumba nyumba nyumba nyumbaaaaaa unakuta mtu una miaka 35 unadai nyumba..life yenyewe kufika 50 ni ishu life is living once sio lazima kuwa na nyumba na hakuna aliewahi kujenga nyumba akamaliza..kula maisha tu sio lazima uwe na nyumba.
sasa kinachowauma ninyi ni kwa vile wamempa gari badala ya kumpa nini mlichotaka nyie apewe???? wanafki wakubwaaaaa, hamjui hata muongee nini mnajing'atang'ata tu ili mradi tuu nanyi muonekane mmecoment.
Eti wahoji hakuna zawadi yenye thamani zaidi ya gari,??? kwa taarifa yako hakuna chenye dhamani zaidi ya PUMZI chini ya jua, na unachodhani kina dhamani kwako kwa mwingine ni useless. tena kwenye Bday unampangia mtu zawadi?? wewe yako ulipewa nini?? si ajabu hujawahi hata kufanya.
tena gari ni zawadi yenye thamani kubwa zaidi iliokwisha tolewa kwenye Bday wengi wao huishia kupewa maua, chocolate, chupi/boxer, na apples. mmekosa vya kuongea sasa mnahoji uthamani wa zawadi, rudini nyuma muwapishe watu wakae.
Paula kilaki, kwa kuongezea tu, gari inafika muda value yake inafika zero, maana inadepreciate kila siku/ mwaka. ina life time, muda ukifika na thamani haina. kuna assets zisizohamishika na zinazohamishika pia (kama shares) ambazo kama unafanya analysis vizuri utagundua thamani zake hazishuki, bali zinaongezeka kila mwaka. Nyie watu na wasanii wenu mwahitaji shule kuhusu investments.
Tatizo wengi wao hawana financial advisors
Hiyo bajeti inazidi hata harusiyako...dah...