BMW X6 gari alilopewa Diamond kama zawadi ya Birthday

BMW X6 gari alilopewa Diamond kama zawadi ya Birthday

sikuiona mbona hayo matairi kipara ndo new but used?
IMG_6415.jpg


View attachment 190175
Hili ndo gari aina ya BMW ambalo Diamond
alizawadiwa na Menejement yake

View attachment 190177 Fella alikula keki kwa niaba ya mameneja wake
 
Gari sio asset ndugu yangu.. linakugharimu kila kukicha na thamani yake inashuka daily.

Naweza kusema ni liability lolz
Asset ni kama kiwanja, nyumba n.k.

Hebu define asset then ndio urudi tena utuambie gari sio asset.
 
Mkuu usikariri.. kila mtu anaweza kuwa na namna yake ya kudefine asset.

Gari ni mzigo wa misumari.
Kama kila mtu atakuwa na definition yake then hutakiwi kusema gari sio asset........
 
Eti taarifa ya habari clouds tv wametangaza hii kitu. ..eti birthday ya diamond yagharimu mil 28...
Hii ndo Tanzania
Dinazarde uliangalia habari?
 
Du x6 hata kma used 2010 model ingefika 120m ila hii labda 60m,hiyo management yke ina hela sana mana fela na tale wa kawaida sana kiuchumi

~Mkuu tukubali tu mwanaharamu apite ukistahajabu ya fela na X6 utashangaa ya kadinda na BMW..
~Wakawadanganye watu wa sitimbi na maigizo yao!
 
~Mkuu tukubali tu mwanaharamu apite ukistahajabu ya fela na X6 utashangaa ya kadinda na BMW..
~Wakawadanganye watu wa sitimbi na maigizo yao!

Tumeshawazoea maisha yao fekero tu halafu wa2 wanaona tunawachukia,hyo gari ni yke kajipa mwenyewe mimi nlitegemea jana anahamia kwake.
Hyo pati nimeona kuku watamu kibao cjui nae walewale
 
Hivi hiyo bethdei ya 28 mil ikoje? Maana naona keki ni kama zile za royal bekariz, ambazo haizidi laki. Au ni pamoja na kukodi hilo gari kwa muda fulani?
 
Back
Top Bottom