Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Eti mara gari alipewa na Wema
Ushamba mzigo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti mara gari alipewa na Wema
Kwahiyo hawa Wamama ni chupa na mfuniko? Na Mama yake Kanumba ameishia wapi sijasikia visa vyake muda mrefu.
Hahaha hizi gari zinaweza kuwa nyingi kiasi kwamba zika shindwa kutosha kwenye nyumba za kupanga!
Ushamba mzigo.
![]()
View attachment 190175
Hili ndo gari aina ya BMW ambalo Diamond
alizawadiwa na Menejement yake
View attachment 190177 Fella alikula keki kwa niaba ya mameneja wake
Gari sio asset ndugu yangu.. linakugharimu kila kukicha na thamani yake inashuka daily.
Naweza kusema ni liability lolz
Asset ni kama kiwanja, nyumba n.k.
Hahahaa haaaa
Hapo chacha
sikuiona mbona hayo matairi kipara ndo new but used?
Hebu define asset then ndio urudi tena utuambie gari sio asset.
Anacheza filamu kokuhilwa.
Kama kila mtu atakuwa na definition yake then hutakiwi kusema gari sio asset........Mkuu usikariri.. kila mtu anaweza kuwa na namna yake ya kudefine asset.
Gari ni mzigo wa misumari.
Maana karibia wamalize maduka yote ya pete hhhhaaaa
Eti taarifa ya habari clouds tv wametangaza hii kitu. ..eti birthday ya diamond yagharimu mil 28...
Hii ndo Tanzania
Dinazarde uliangalia habari?
Du x6 hata kma used 2010 model ingefika 120m ila hii labda 60m,hiyo management yke ina hela sana mana fela na tale wa kawaida sana kiuchumi
~Mkuu tukubali tu mwanaharamu apite ukistahajabu ya fela na X6 utashangaa ya kadinda na BMW..
~Wakawadanganye watu wa sitimbi na maigizo yao!