Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
Hivi vijamaa sijui vitakuwa lini na vimeneja viongo viongo
wewe umeshakuwa inatosha kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi vijamaa sijui vitakuwa lini na vimeneja viongo viongo
Mi naijua mkuu, mwenye nayo anakaa Mikocheni.
yaani hata mimi najiuliza same questions. maanake hata nyumba tulizorent parking hazitoshi.maanake mama murano,mtoto BMW'S
Hii gari inaonekana imeendeshwa sana Tz
Kwahiyo hawa Wamama ni chupa na mfuniko? Na Mama yake Kanumba ameishia wapi sijasikia visa vyake muda mrefu.
zawadi ni zawadi, zawadi zenye dhamani zipo, ila mfuko wa mtoaji ndio umeweza hii
Hhhhhhjaaa hiii nchi maigizooo mengiii
ukute kweli maabake hizi safari zinalipa.si unajua baba alikua anahangaika kutafuta pesa.unadhani si wanajipongeza kwa kazi nzito.unadhani kupakua mzigo rahisi.hapo hiyo ni kifuta jasho.for that reason, I'm out!
Million 90 za kitanzania BADILI TABIA
Hahahahau thubutu yao
Mkuu wanasema mjini heshima gari nyumba hata mbuzi anayo
Duuh nilikuwa sielewi hili.
Mama Kanumba anacheza filamu na lulu siku hizi!
Hahaha inchi ina macelebrity wengi kuliko nchi yeyote duniani na wengi wao kama wehu.....