BMW X6 gari alilopewa Diamond kama zawadi ya Birthday

BMW X6 gari alilopewa Diamond kama zawadi ya Birthday

yaani hata mimi najiuliza same questions. maanake hata nyumba tulizorent parking hazitoshi.maanake mama murano,mtoto BMW'S

Hahaha hizi gari zinaweza kuwa nyingi kiasi kwamba zika shindwa kutosha kwenye nyumba za kupanga!
 
ukute kweli maabake hizi safari zinalipa.si unajua baba alikua anahangaika kutafuta pesa.unadhani si wanajipongeza kwa kazi nzito.unadhani kupakua mzigo rahisi.hapo hiyo ni kifuta jasho.for that reason, I'm out!

Hamna gari ya milioni 90 pale
 
Dats all the management cud manage kumpa diamond kama zawadi....iwe used iwe mpya zawad ni zawadi.....
 
wabngo sie mmh et gari imetumika hata iwe used iyoo gar sio ya kawaida mjini hata ikipita unajua fulani kapita
 
sasa kila mtu anatoa zawadi birthday gari hawawezi kuumiza kichwa wakatoa zawadi ingine yenye thamani ya hilo gari
 
Hahaha inchi ina macelebrity wengi kuliko nchi yeyote duniani na wengi wao kama wehu.....

yaani hawa watu ni wa kuwahurumia kwani ni wagonjwa WALA HUJAKOSEA.(Grandiosity refers to an unrealistic sense of superiority - a sustained view of oneself as better than others that causes the narcissist to view others with disdain or as inferior - as well as to a sense of uniqueness: the belief that few others have anything in common with oneself and that one can only be understood by a few or very special people.
Grandiosity is chiefly associated with narcissistic personality disorder, but also commonly features in manic or hypomanic episodes of bipolar disorder.
 
Back
Top Bottom