miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,012
- 3,700
Huli gari linaonekana lilikuwa linatumiwa sana sio jipya lakini zawadi ni zawadi
Kwa level wanaojiweka wao hii ni takataka na huenda show off ya gari ya mtu hyo.Kisa mwenzie kapewa bmw na yeye eti kapewa.
Hahaaaaa...mkuu una utani ee
By the way, hiv wasanii hawanaga zawad za maana za kupeana zaid ya magar?
wangepeana asset ingekuwa na mashko zaid
Wangejua hiyo gari wangeiosha kwanza rim na tairi au wange badilisha tairi! Hii inonesha imetumika sana tuu!.
Ndo hapo sasa.....halafu umeona mkwewe alivyoporomosha matusi??
wiki ilikuwa ndefu na iliyogubikwa na birthday mbili za mastaa wakubwa nchini wema na diamond hata hatujui km rasimu imepitishwa bungeni dodoma...jumatatu tunarud kwny hali ya kawaida
Nimeona aiseee ni aibu! Hili gari limenunuliwa million 90
naona pembeni anajiita official dj wa diamond rome j... alinichekesha kwenye interview moja akisema wema ndiyo his future wife... nlicheka sana
Million 90???aiseee ni hatari ingawa haiingii akilini.
Mkuu wanasema mjini heshima gari nyumba hata mbuzi anayo
Hivi huwa hakuna zawadi yenye thamani kuzidi gari?
Au hakuna zawadi nyingine nzuri na yenye manufaa zaidi ya gari?
Million 90???aiseee ni hatari ingawa haiingii akilini.
Nimeona aiseee ni aibu! Hili gari limenunuliwa million 90