Mtamile
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 2,838
- 1,274

Hili ndo gari aina ya BMW ambalo Diamond
alizawadiwa na Menejement yake
Fella alikula keki kwa niaba ya mameneja wakeMeneja wa Diamond, Babu Tale amesema party
hiyo iligharimu shilingi milioni 28 na kuwataja
waliohusika kuigharamia.
Event tumefanya wenyewe lakini mwisho wa siku
Diamond yupo karibu na watu wengi na
makampuni mengi. Tale ameiambia 255 ya XXL
ya Clouds Fm. Coca cola kama Coca Cola ndio
walichukua nafasi kubwa kuifanya ile event
sababu wao ni balozi wao .ilikuwa gharama
inagharimu milioni 28 kwa sisi wenyewe watoto
Zawadi kubwa aliyopata Diamond kwenye
birthday yake ni gari aina ya BMW X6, ambayo
alipewa na uongozi wake unaoundwa na Babu
Tale, Said Fela na Salam. Tale ameelezea jinsi
walivyoweza kupata pesa za kununua gari hiyo.
Sasa hivi Diamond anafanya vizuri na tulikuwa
tunamwambia Diamond kwamba kuna contract
tukisaini tutakupa zawadi, as in kwamba
management haitachukua percent ya hiyo
contract hiyo pesa itaenda kwenye kukuchukulia
wewe zawadi, akasema nyie bana mlivyokuwa
watata sijui kama mtakubali.
Aliendelea,
Tulivyotoka South Africa tukawa kuna contract
tume confirm kusaini, tulivyosaini ile contract ile
pesa ambayo ilitakiwa pasenti yote ije kwetu sisi
mimi, Fela na Salam yote tukasema tumchukulie
zawadi .ni shilingi ya kitanzania milioni 90.