BMW5: Naombeni Ushauri

BMW5: Naombeni Ushauri

codes

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2015
Posts
344
Reaction score
514
Poleni na hongereni na majukumu ya kila siku. Naomba ushauri kwa wadau wenye experiences na ununuzi wa "Used Cars".

Inawezekana kununua gari tajwa kutokea Hongkong/China?,Turkey....(if yes, kampuni ipi?).

Ni Kampuni ipi ya uhakika kwa Japanese Used Cars naweza kuagiza gari tajwa?. Wenye experince na gari tajwa , kilomita zinatakiwa kusoma at most ngapi?....
 
BMW 5 ndio gari gani?
 
Acha kumkatisha mwenzio tamaa brother, unajua utamu wa BMW×5? imetulia sana roadini, kama uko kwenye Toyota Land Cruiser LC300 GX.
 
Back
Top Bottom