BMW 5 ndio gari gani?Poleni na hongereni na majukumu ya kila siku. Naomba ushauri kwa wadau wenye experiences na ununuzi wa "Used Cars".
Inawezekana kununua gari tajwa kutokea Hongkong/China?,Turkey....(if yes, kampuni ipi?).
Ni Kampuni ipi ya uhakika kwa Japanese Used Cars naweza kuagiza gari tajwa?. Wenye experince na gari tajwa , kilomita zinatakiwa kusoma at most ngapi?....
Inawezekana pia anazungumzia 5 series!! Tutajuaje?Jamani huyu atakuwa anazungumzia BMW X5 ila anatakiwa aspecify ni ipi? E53? E70? E71?