TV4Sale BNL Electronics: Smart TVs, LED Tvs for sale!

TV4Sale BNL Electronics: Smart TVs, LED Tvs for sale!

Mmmh,si ni bora nikanunue dukani TV kama hiyo kwa laki3.5 tu.
Kijana,pesa haziokotwi,hiyo TV yako itumie mwenyewe.
 
Me nliichukua kwa jamaa yangu mpya pale jmall 2013 inch 32 4series kwa 380,000

wew leo unataka 680,000
 
Ujachukua mlimani wewe utakua umechukua ya kichina kkoo hamna 32inch ya bei hiyo
 
Wanaoweza bei wapige simu, hulazimishwi kununua na hata michina ipo...
 
Full hd
Hdmi port
Usb port
Price: 680,000
Contact :0713086602/0754891344
Free delivery
 
680,000 nchi 24?hahahhaa we jamaa unatafta kum bamiza mtu kama ww ulivyobamizwa
 
...weka bei za fridge kuanzia ndogo mpaka size ya kati, alaf kuna swali unaulizwa khs location haujibu mkuu
 
Back
Top Bottom