BNL_ELECTRONICS
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 1,290
- 129
- Thread starter
- #381
Mko wapi mangi
Kinondoni biafra
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mko wapi mangi
Inchi ngapi?
Inabidi useme na ukubwa wake ili kama ni jicho moja mteja ajue kabisa
naona unaogopa kutaja ukubwa wa kioo
Yaani Wabongo ni wavivu sana, upo kwenye mtandao halafu unashindwa kuperuzi Samsung H6400 ina kioo cha ukubwa gani unakalia kupost tu!
Haya basi Samsung H6400 Series 6 ni 48".
Kama ulikuwa unaona uvivu wa kuweka specifications, ungeweka jina na series number kisha bei basi. Mengine ungesema kabisa wabrows kwenye net.
Milioni mbili na laki nane? Sijaon vizuri
unapatika wapi? kwa mikoani