BNL_ELECTRONICS
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 1,290
- 129
- Thread starter
- #1,281
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Price zako ziko juu sana ukilinganisha na wengine wenye orginal product kama hizo, samahani lakiniSamsung tv 23inch led 370,000tshs
Samsung tv 32inch led 750,000tshs
Samsung tv 40inch led 1,250,000tshs
Samsung tv 46inch led 1,790,000tshs
Sony bravia tv 32inch led 650,000
Sony bravia tv 40inch led 1,150,000
Lg tv 32inch led 680,000
Lg tv 42inch 1200,000
Samsung plasma tv 42inch 1,100,000
Hizo ni baadhi ya products zilizopo call 0754891344 for more information
Nimekuja hapo 10mins ago sijaona ofisi yenu,kuna msururu wa maduka ya nguo hakuna duka la electronics.Ofisi ipo nyuma ya duka la vifaa vya gym ukifika kwenye ilo duka la vifaa vya gym piga 0713086602 ntakuja kukupokea..Asante
Kweli aisee, mpaka nmeogopa.Price zako ziko juu sana ukilinganisha na wengine wenye orginal product kama hizo, samahani lakini
Prices za zamani sana mkuu angalia nilizopost mwishoniPrice zako ziko juu sana ukilinganisha na wengine wenye orginal product kama hizo, samahani lakini
Kama uliona duka la vifaa vya Gym then ni nyuma yake ukija unanipigia simu nakupokea ndugu 0713086602Nimekuja hapo 10mins ago sijaona ofisi yenu,kuna msururu wa maduka ya nguo hakuna duka la electronics.
Baada ya msururu wa maduka ya nguo kuna duka la vifaa vya gesi then duka la vitabu na CD za dini halafu geti jeusi sio?? ndani ya geti jeusi ndo ofisi ilipo...pia nilikwambia nipigie simu ufika chief nway karibu tena na Pole kwa usumbufu uliopataNimekuja hapo 10mins ago sijaona ofisi yenu,kuna msururu wa maduka ya nguo hakuna duka la electronics.
Nilihisi ni humo kwenye geti jeusi, poa nitatembelea.Baada ya msururu wa maduka ya nguo kuna duka la vifaa vya gesi then duka la vitabu na CD za dini halafu geti jeusi sio?? ndani ya geti jeusi ndo ofisi ilipo...pia nilikwambia nipigie simu ufika chief nway karibu tena na Pole kwa usumbufu uliopata