Biggs
JF-Expert Member
- May 3, 2014
- 2,068
- 2,314
Ipo 49" bei yake 1.4mil
Ok !! Na home Samsung home theatre 1000 - 1500 watts !!??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo 49" bei yake 1.4mil
Mkoa wa morogoro ofisi mnayo?au mtu ambae hakai dar inakuwaje?Inawezekana kabisa ofisi ipo Kinondoni makaburini opposite barclays bank karibu na kanisa la Dar es salaam PENTEKOSTE kupata maelekezo zaidi piga 0713086602
Tunakutumia mzigo kutumia courier services. Cost za usafiri kutoka Dar mpaka location yako utalipa mteja na malipo unafanya baada ya kuona mzigo wako.Mkoa wa morogoro ofisi mnayo?au mtu ambae hakai dar inakuwaje?
Habari ndugu, TV inakaa ukutani vizuri tu ingawa brackett ya kufungia ukutani haipo included kwenye bei. Zinapatikana kkoo for around 30,000 to 35,000 tshs
Warranty ni mwaka mmoja na receipt ya TRA unapata so usihofu hutokorofishana na MR PRESIDENT
Discount ipo kwa kila product ukiwa tayari nipigie kwa namba 0713086602 then unaweza kuja kubeba ofisini au nikakuletea mlangoni
Mode of payment:
*Cash
*Mobile money transfer
*Bank transfer
Karibu sana!
Nipigie nikupe maelekezo ndugu 0713086602Nilitaka nikuulize hizo wall mounting kit kama unazo. Kariakoo sehemu gani?
Asante. Nitakupigia.Nipigie nikupe maelekezo ndugu 0713086602
Mkuu home theatre za Samsung zimeisha na Samsung Smart TV ipo inch 49 bei yake 1,650,000Samsung smart TV led 50 inch na home theatre watts 2000 wireless ni sh ngapi jumla?
Una mashine za kufua nguo?! Ni bei gan?!Samsung 55" Smart LED TV Full HD
Model: 55K6000
Series6
Display
Screen Size55"
Resolution1920 x 1080
Video
Picture EngineHyperReal
Motion Rate50
PQI (Picture Quality Index)400
Dynamic Contrast RatioMega Contrast
Micro DimmingM / D Pro
Wide Color Enhancer (Plus)Yes
Contrast EnhancerYes
Film ModeYes
Audio
Dolby Digital PlusYes
DTS CodecYes
Sound Output (RMS)20 W
Speaker Type2 CH (Down Firing w / Bass Reflex)
Wallmount Sound ModeYes
Multiroom LinkYes
TV SoundConnectYes
BT Headset SupportYes
Smart Service
Samsung SMART TVYes
AppsYes
BillingYes
(AE)EXTRAYes
Web BrowserYes
Convergence
TV to Mobile - MirroringYes
Mobile to TV - Mirroring, DLNAYes
Samsung SMART ViewYes
Bluetooth Low EnergyYes
WiFi DirectYes
Localization
Sound MirroringYes
Analog Clean ViewYes
Sports ModeAdvanced
Sports Mode Auto Highlight SupportYes (Digital RF / Analog RF / Composite)All Care ProtectionTriple Protection (500 V)
Tuner/Broadcasting
Digital BroadcastingDVB-T2
Analog TunerYes
Connectivity
HDMI3
USB2
Component In (Y/Pb/Pr)1
Composite In (AV)1 (Common Use for Component Y)
Ethernet (LAN)1
Digital Audio Out (Optical)1
RF In (Terrestrial / Cable input)1 / 1 (Common Use for Terrestrial) / 0
HDMI A / Return Ch. SupportYes
Wireless LAN Built-inYes
Anynet+ (HDMI-CEC)Yes
Design
DesignFHD Slim
Bezel TypeVNB
Slim TypeStep-Up Slim
Front ColorDark Titan
Stand TypeQuad
Additional Feature
Instant OnYes
ProcessorQuad-Core
AccessibilityEnlarge / High contrast
Digital Clean ViewYes
Auto Channel SearchYes
Auto Power OffYes
Caption (Subtitle)Yes
Connect Share[emoji769] (HDD)Yes
ConnectShare[emoji769] (USB 2.0)Yes
Embeded POPYes
EPGYes
Extended PVRYes
Game ModeYes
OSD LanguageLocal Languages
Picture-In-PictureYes
BT HID Built-inYes
USB HID SupportYes
Teletext (TTX)Yes
Time ShiftYes
Ultra Clean ViewYes
Triple ProtectorTriple Protection (500 V)
Price: 2,450,000
Contact: 0713086602
View attachment 489727
Washing machine sina ntakudirect mtu nipigie 0713086602Una mashine za kufua nguo?! Ni bei gan?!
Safi, utaratibu murua kabisa. Tafadhali nipe bei za , Panasonic 40", Vizio 40" na Star x 40".Tunakutumia mzigo kutumia courier services. Cost za usafiri kutoka Dar mpaka location yako utalipa mteja na malipo unafanya baada ya kuona mzigo wako.
Panasonic na Vizio sina kuna star X 43" Utapata kwa 730,000Safi, utaratibu murua kabisa. Tafadhali nipe bei za , Panasonic 40", Vizio 40" na Star x 40".
sina mkuu nna LG na SamsungSony Home theatre bei gani??