Kwa jinsi Siasa za Afrika zilivyokuwa chafu kupindukia, namuonea huruma sana mtu huyu.Rushwa imekita mizizi katika jamii. Bob Chacha Wangwe, baada ya kutangaza kwamba atagombea ubunge Tarime Mjini mwaka 2025. Amemueleza Mwenyekiti wa Chadema Wilaya kwamba "ana soda kidogo kwa ajili ya wajumbe" .
Kwa maoni yangu, naona hiyo ni rushwa kwa kuwa hiyo soda inatolewa kwa wajumbe baada ya kutangaza nia ya kugombea.
Kama soda zimeanza mapema hivi, tena katika chaguzi za ndani, mwaka 2025 Chadema watatoa "soda" kiasi gani kwa wajumbe na wananchi watakapiga kura?
Mara nyingi chadema imekuwa ikiishutumu CCM kwa vitendo bya rushwa katika uchaguzi, shutuma ambazo hazijawahi kuwa na ushahidi wowote
Kama wewe muoga basi tambua ya kwamba siyo wote. Muache mwamageuzi Bob Chacha Wangwe agombee.Kwa jinsi Siasa za Afrika zilivyokuwa chafu kupindukia, namuonea huruma sana mtu huyu.
Ni vyema sana akajiweka kando na masuala ya Siasa ili aishi maisha yake ya uhuru, amani na furaha daima.
Matiko alishafukuzwa chadema so jimbo halina mgombea.MwanaCHADEMA aliyekuwa anagombea hapo atakubali kumpisha Wangwe? Hapo kuna vita itatokea ndani ya CHADEMA
Kama umeita wajumbe siyo mbaya kuwapa soda au chakulaRushwa imekita mizizi katika jamii. Bob Chacha Wangwe, baada ya kutangaza kwamba atagombea ubunge Tarime Mjini mwaka 2025. Amemueleza Mwenyekiti wa Chadema Wilaya kwamba "ana soda kidogo kwa ajili ya wajumbe" .
Kwa maoni yangu, naona hiyo ni rushwa kwa kuwa hiyo soda inatolewa kwa wajumbe baada ya kutangaza nia ya kugombea.
Kama soda zimeanza mapema hivi, tena katika chaguzi za ndani, mwaka 2025 Chadema watatoa "soda" kiasi gani kwa wajumbe na wananchi watakaopiga kura?
Mara nyingi chadema imekuwa ikiishutumu CCM kwa vitendo vya rushwa katika uchaguzi, shutuma ambazo hazijawahi kuwa na ushahidi wowote
Ulitaka wasinywe hata maji?Eeehhh!!
Unaiona hiyo lakini huioni ile ya SGR TANROADS HALMASHAURI iliyoibuliwa na CAG.Amemueleza Mwenyekiti wa Chadema Wilaya kwamba "ana soda kidogo kwa ajili ya wajumbe" .
Kwani kuwanywesha soda ni rushwa🤔Huo ni moyo wa ukarimu mzee.Rushwa imekita mizizi katika jamii. Bob Chacha Wangwe, baada ya kutangaza kwamba atagombea ubunge Tarime Mjini mwaka 2025. Amemueleza Mwenyekiti wa Chadema Wilaya kwamba "ana soda kidogo kwa ajili ya wajumbe" .