GreenCity
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 5,796
- 4,497
AiseeMbowe anaungwa mkono mpka na lukas Mwashambwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeMbowe anaungwa mkono mpka na lukas Mwashambwa
Kwamba siku Mbowe akichaguliwa Lucas Mwashambwa atalia machozi ya furaha na kububujikwa na machoziMbowe anaungwa mkono mpka na lukas Mwashambwa
CDM itabaki kama CUFUchu wa Madaraka.
Lucas ni kampeni meneja wa Mbowe hayo ni maelekezo ya UWT taifaKwamba siku Mbowe akichaguliwa Lucas Mwashambwa atalia machozi ya furaha na kububujikwa na machozi
Baadae ya matusi, frustration ulizonazo zimekwisha?Pimbi kweli
Sio kila post lazima uisome
Kama Vipi pita kushoto, changanya genye zako Kwa wanaume wengine
Mbuzi wahed
Umeanza mwenyewe…. Pita kuleBaadae ya matusi, frustration ulizonazo zimekwisha?
Na Sultan Mbowe atabaki kama hili tutusa hapa chiniCDM itabaki kama CUF
Ni hatari sana aiseeMbowe anaungwa mkono mpka na lukas Mwashambwa
Jamaa kaongea point sanaNa; Bob Chacha Wangwe
Mhe. Mbowe na Mhe. Lissu wote ni viongozi wetu. Mchango wao ni mkubwa sana na tunawapenda. Lakini tunaipenda zaidi CHADEMA. Katika kuchagua mmoja kwenye nafasi ya Uenyekiti, tukiamua kabisa kuweka upambe na uchawa pembeni na kuangalia maslahi na ustawi wa CHADEMA na Upinzani kwa ujumla, hebu tujiulize maswali sita (6) yafutayo halafu ni imani yangu yatasaidia kutuonesha anayestahili kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA.
1. Ni yupi kati ya hawa wawili maadui zetu wa kisiasa wanatamani achaguliwe kuwa Mwenyekiti?
2. Nani anaungwa mkono zaidi na Umma?
3. Yupi ambaye akichaguliwa ushindi wake unaweza kuongeza ari na matumaini kwa Watanzania Wazalendo ambao wengi wanaonekana kukata tamaa?
4. Uchaguzi ni kawaida kuacha athari na majeraha kwa chama, ni yupi unadhani ushindi wake unaweza kutuachia athari au majeraha kidogo baada ya Uchaguzi?
5. Ni yupi kati ya hawa, unadhani aina ya watu wanaomuunga mkono ni kwa maslahi yao binafsi na sio maslahi ya CHADEMA?
6. Kwakuwa chama ni Wanachama, kati ya hawa viongozi wetu wawili, nani unadhani akichaguliwa atasaidia kuongeza Wanachama wapya?
Maswali haya sita (6), yatusaidie kufanya maamuzi januari 21, 2025! Kama huna sifa ya kupiga kura, waombe wanaoweza kupiga kura watuchagulie huyo nafsi yako kwa dhati kabisa inakwambia ni sahihi!
Happy new year in advance!
Bob Chacha Wangwe
Mbowe kalewa asali aliyorambishwa. Mwenyekiti hana kauli thabiti za kukemea maovu kwa sasa.Huyu nae anaongea utumbo, kwani nani rafiki wa Msigwa wa CCM, ni Mbowe au Lissu?
Abdul ana wagombea wakeMbowe anaungwa mkono mpka na lukas Mwashambwa
Mungu msaidie LISSUNa; Bob Chacha Wangwe