Bob Chacha Wangwe: Mbowe anakuwaje rafiki wa adui zetu? Tumkatae wote

Jamaa kaongea point sana
 
Lissu inatakiwa amshinde mbowe kwa 100%, akishinda kwa 90% nitawashangaa hao wajumbe 10% waliompa kura mbowe wana ubongo wa aina gani!.
 
Huyu nae anaongea utumbo, kwani nani rafiki wa Msigwa wa CCM, ni Mbowe au Lissu?
Mbowe kalewa asali aliyorambishwa. Mwenyekiti hana kauli thabiti za kukemea maovu kwa sasa.
Watu wanatekwa, chaguzi zinaibiwa waziwazi huku mwenyekiti akimsifu mama abdul.
 
Mungu msaidie LISSU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…