Yusomwasha
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 2,092
- 839
duh comment zenu hahahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kujijibu mwenyewe...Majambazi hawana alama,,...Polisi ya Tanzania hata kuongea kitu kikaeleweka hawawezi
sasa mtu anashirikiana na majambazi mnampigia simu?
aje polisi?
halafu ndo mnatangaza kwamedia?
na yote ni habari ya mtu mmoja tu kuripoti?
Mkuu, nimeona source ya hii thread si polisi na polisi hawajaitoa kwenye media isipokuwa jamaa wa karibu na huyo bongo flavaour ndio kazungumza na media.Polisi ya Tanzania hata kuongea kitu kikaeleweka hawawezi
sasa mtu anashirikiana na majambazi mnampigia simu?
aje polisi?
halafu ndo mnatangaza kwamedia?
na yote ni habari ya mtu mmoja tu kuripoti?
Majibu yako kibokoWaache uonevu, mzee wa chipsi yai na ujambazi where and where?
HahahaaaKhaaa uyo boya hata mjusi hapo nyumbani kwake anapiga kelele kaona mamba,aje kua jambazi nyie polisi acheni utani bwana.
alieimba ngoma inogile?hatmae RFK yake udeude kauwawa kwa ujambaz tanga..
Naa akifika cha kwanza apatiwe butiPolisi wanataka akawasaidie tu