Bob Junior Akamatwa na Polisi Kwa Tuhuma za Kushirikiana na Majambazi

Raisi wa Masharobaro na Ujambazi wapi na wapi??


Labda kesi ya kunyang'ana mabwana...
 
Polisi ya Tanzania hata kuongea kitu kikaeleweka hawawezi
sasa mtu anashirikiana na majambazi mnampigia simu?
aje polisi?
halafu ndo mnatangaza kwamedia?
na yote ni habari ya mtu mmoja tu kuripoti?
Acha kujijibu mwenyewe...Majambazi hawana alama,,...
 
Polisi ya Tanzania hata kuongea kitu kikaeleweka hawawezi
sasa mtu anashirikiana na majambazi mnampigia simu?
aje polisi?
halafu ndo mnatangaza kwamedia?
na yote ni habari ya mtu mmoja tu kuripoti?
Mkuu, nimeona source ya hii thread si polisi na polisi hawajaitoa kwenye media isipokuwa jamaa wa karibu na huyo bongo flavaour ndio kazungumza na media.
 
msanii ni kipenzi cha watu wengi na mashabiki! possibly ndani yake kuna wema na waovu!/
lakini wote ni abiria wake!
 
Huenda hii ni kick tu inatafutwa ili atokee kwenye media. Akaamua kujisingizia Ujambazi....!
 
Akakate mauno keko kama ajarudi anatembelea magoti. Watu huko wana ugwaduuu
 
Wasanii wengi utajiri wao ni wa mashaka sana, muziki unalipa ila sio kiasi hicho!
 
MTU hawezi hata kushika panga zaidi ya uma eti jambazi,au labda bwana ake ndio jambazi?
 
Hii ni sanaa tu.....kesho kwenye taarifa ya habari ya saa mbili usiku utamuona "Tibaigana" anaongea na Waandishi.....Hiri risanii ni rijambazi ra kutisha, rinatumia urimi wake kama siraa...na yafuatayo ni majina ya wake za watu ririoiba.
 
hatmae RFK yake udeude kauwawa kwa ujambaz tanga..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…