Bob junior 'live' na mchepuko

Bob junior 'live' na mchepuko

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Baada ya kuachana na mkewe, Halima Ally, staa wa Nyota ya Chipsi Mayai na Prodyuza wa Sharobaro Records, Raheem Rummy Nanji ‘ Bob Junior’ amenaswa live na mrembo anayejulikana kwa jina la Sabrina Omary ‘ Sabby Angel ’ ambaye ni msanii wa filamu , wakiwa katika mahaba nipoteze kama ndege ya Malaysia.

Kwa mujibu wa rafiki wa karibu wa Sabby ambaye ndiye aliyevujisha picha za tukio hilo, Sabby na Bob Junior kwa sasa wako katika mahaba mazito na ni watu wanaopendana kwa sababu kila unapomuona Sabby yupo karibu na mwanamuziki huyo .

Bebi huyo, “Sasa hivi Sabby na Raheem ndiyo habari ya mjini kwani kila sehemu wapo pamoja na wanapendana sana, ” alidai rafiki huyo wa Sabby. Chanzo hicho kilizidi kumwaga ubuyu kwamba wawili hao wanaweza kuvalishana pete ya uchumba muda wowote kuanzia sasa .

Baada ya kunyetishiwa ubuyu huo, Wikienda lilimtafuta Bob Junior ambaye hakupatikana lakini alipotafutwa Sabby ili kusikia kauli yake kuhusu uhusiano wake na Bob Junior alikiri na kusema kuwa ni mtu ambaye anampenda na ndiye anamfanya awe na furaha .

bobujunio.jpg
 
Mh,hawa wanaume wa kupokezana mjini kazi kwelikweli.....
 
Habari ya mjini wapi sie hatuwajui hao bora wakae kimya tu

Ahahaaa binamu ni nini bhana, waache mastaa wetu, halafu iko ki angel kinajishaua kiama, kinatafuta umaarufu kwa nguvu, na huyo bob junior mke wake kaachana nae tena? Mmh kazi ipo au ndo anaonyesha urijali wake
 
hahahahaa umeonaee na mimi nilitaka sema hivyo hivyo hata wagegedane hadharani hawawezi kuwa habari ya mjini, habari ya mjini kila mtu anaijua D.A.N.G.O.T.E

Dangote mwenyew ana GOVI ndo maana hawezi kuwapa mimba mademu, shahawa zote zinabaki kwenye linyama lake la mbele, sijui anasubir nini kulitoa
 
Dangote mwenyew ana GOVI ndo maana hawezi kuwapa mimba mademu, shahawa zote zinabaki kwenye linyama lake la mbele, sijui anasubir nini kulitoa

Mh!jamani khaa😱😱
 
Dangote mwenyew ana GOVI ndo maana hawezi kuwapa mimba mademu, shahawa zote zinabaki kwenye linyama lake la mbele, sijui anasubir nini kulitoa

Hahahahaaaaaa uwiiiiiiii hii kali jamani!!!!
 
Back
Top Bottom