King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Confirmed!
Mohamed Nyanga (Bob) Makani is no more... Katutoka muda si mrefu
Rip Bob Makani.kafa akiwa na umri gani?
Poleni wakuu,tatizo lake lile lile au jingine? Maana nakumbuka kulikua na uzi alilazwa aghakan!!
Naona mpaka muda huu hamna mtu aliyesema chanzo cha kifo. Sijui kwanini.
Jioni hii tumempoteza mmoja wa waanzilishi wa chama chetu, Mzee Bob Makani. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
MSG from Dr Slaa @twiiter