Innalillah wainna ilayhi raj'uun
Kwa hakika aya ndio mawaidha ya aina yake.
Dunia ni kama safari, na ni lazima ufike unapoenda, hiil ni kumbukumbu kwa wale waishio kama ndio wamefika duniani.
Wajameni tufanyeni ibada, wajameni tusidhulumiane, wajameni tumche mola wetu.
Poleni wanafamilia na muwe na subra, na poleni wale mliomtelekeza..........
Note:
Haya pia ni mawaidha kwa muasisi wetu! .............