TANZIA Bob Makani afariki dunia

TANZIA Bob Makani afariki dunia

Nilimfahamu Bob Makani kwa mara ya kwanza miaka ya nyuma enzi za uenyekiti wake CHADEMA (sikumbuki mwaka) alihutubia viwanja vya bonde nyasi Uyole-Mbeya

Mzee Makani makini, tangulia kwa aman, daima wajukuu zako tutakukumbuka..tunakuahidi kuendeleza vuguvugu la mabadiliko ulilo liasisi enzi za uhai wako

Ndugu wanachadema wenzangu...njia pekee ya kumuuenzi Mzee wetu ni kutoisalit M4C kwa gharama yoyote ile
 
Ni wakati mgumu kwa wengi wetu. Pole wafiwa.

Lakini Bob Makani alikuwa nani na alifanya nini CHADEMA, kwenye duru la siasa, na maishani kwa ujumla?
 
R.I.P Mzee Makani. Kazi ya Mungu haina makosa. Umeacha makamanda imara
 
R.I.P Mzee Makani
Poleni wana familia, mwenyezi awape ustahamilivu katika wakati huu mgumu
Poleni Chadema na Watanzania kwa ujumla
 
Huyu Mzee Wangu sijawahi pata Jibu hadi leo Hii Ndugu zake ni Wakristu ila yeye ni Muislam na Watoto wake wote kama sikosei Ismail na Medi wale Wahezaji Mpira Wa Kikapu Misukuma ile Mirefu mirefu sana kama Baba yao...

Mwenyezi Mungu aiweke Roho ya Marehemu Panapo Stahili...
Bageshi...
 
masikini kamanda makani ametutangulia mbele ya haki kabla ya kuona tukio la ajabu 2015 .R.I. P makani
 
Back
Top Bottom