TANZIA Bob Makani afariki dunia

TANZIA Bob Makani afariki dunia

R.I.P Mzee Makani,poleni Watanzania,Poleni wana CDM na poleni familia yake
 
R. I. P Mzee Makani! Mmekijenga chama na kushuhudia mafanikio yake, lakini hautapata kuona mafanikio ya juu kabisa. Mungu akupumzishe kwa amani. Amen!
 
Pumzika kwa amani mzee wetu..
Namshukuru Mungu wa safari yako ya maisha iliyojaa mengi yam kukumbukwa.
 
Poleni wafiwa,

He was a jolly good man,

A good lawyer in deed,

A patriot, politician, entrepreneur,

REST IN PEACE
 
Mungu kaamua kuanza kuwachukua Wenyeviti wastaafu wa vyama vya siasa maana ameanza Musobi Mageni hivi karibuni. Poleni wafiwa.
 
Ur work will always b appreciated. We lovd u bt GOD love u more than us. Let ur soul Rest In Peace! Amen.
 
Inna Li Llahi wa Inna Illahi Rajiun.

Poleni watoto, ndugu, jamaa na marafiki. Poleni CHADEMA, Poleni CCM, Poleni Taifa.

sasa hapa magamba wamefikaje tena? anyway RIP Mzee wetu,mapambano bado yanaendelea
 
r.i.p bob..mzee alikuwa anapiga fegi balaa!poleni wapigania uhuru wote
 
Poleni sana familia ya Bob Nyanga Makani pamoja na Chadema kwa kulipoteza Jembe la ukweli.
Mungu awape faraja na moyo wa subra katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo.
 
Back
Top Bottom