Bob Marley aliamini Mungu kweli?

The latter, an analysis of the contradictory lyrics of a popular artist may transcend a simplistic and banal interpretation and therefore reveal how -without analysis- simplistic the general public could be.

To turn Socratic, the unexamined life is not worth living. We are examining, hence fully exploring the potential of living.
 
Kwani ni wapi mashairi yanajikinza?
'
Na kwanini uone yanajikinza?
'
Na kama yanajikinza ni kwenye kitu gani?Na kwa mujibu wa nani?
'
Na je,kujikinza huko kunatuathiri vipi sisi wasikilizaji?
'
Na kama hayatuathiri kuna haja gani ya kuyajadili?
 
Marastafari wana imani kua heaven in earth ipo ethiopia ardhi ya ras lij tafari makonen (mfalme haile selasie), marasta wana amini wazungu walitumia biblia kutudanganya kwa kutumia vifungu kua duniani si kwetu tunapita hvyo wakachukua ardhi wakatupa biblia. .marasta wanaamini wafalme wanachaguliwa na mungu hivyo maneno ya mfalme haile selassie yalikua ya mungu hivyo haile selassie alikua representative wa mungu duniani. . . . .
 
What a pit! I can see how people are busy trying to humanize Almighty God instead of searching for truth. God bless you all. I'm not a preacher man
 
Kwani ni wapi mashairi yanajikinza?

Mashairi haya yanakinzana na imani ya Kikristo ya "mungu" na Yesu atakayekuja kutoka mbinguni siku ya mwisho kama ilivyoandikwa katika biblia.

Preacher man, don't tell me,
Heaven is under the earth.
I know you don't know
What life is really worth.
It's not all that glitters is gold;
'Alf the story has never been told:
So now you see the light, eh!
Stand up for your rights. come on!

Get up, stand up: stand up for your rights!
Get up, stand up: don't give up the fight!
Get up, stand up: stand up for your rights!
Get up, stand up: don't give up the fight!

Most people think,
Great god will come from the skies,
Take away everything
And make everybody feel high.
But if you know what life is worth,
You will look for yours on earth:
And now you see the light,
You stand up for your rights. jah!
'
Na kwanini uone yanajikinza?

Kwa sababu otherwise Bob Marley is a bible thumping singer.
'
Na kama yanajikinza ni kwenye kitu gani?Na kwa mujibu wa nani?

Ni kwenye habari nzima ya mbinguni na Yesu kurudi, kwa mujibu wa Bob Marley na Biblia.
'
Na je,kujikinza huko kunatuathiri vipi sisi wasikilizaji?

Kunatuonesha kwamba hata bible thumping singers wanaona biblia haina ukweli, hivyo kutufanya tuulize zaidi ukweli wa biblia.
'
Na kama hayatuathiri kuna haja gani ya kuyajadili?

Nani kasema hayatuathiri? Kipi kimekufanya ufikiri hayatuathiri?Kwa nini unauliza swali na kulijibu kabla hujajibiwa?
 
Guys, I know I'm so wrong for this

But

Didn't you sing this enzi hizo?

"Bob Marley kafa, kabakia rasta
Kazaliwa Afrika, kazikwa Amerika
Woy Woy Woy Woyo Woy Woy
Woy Woy Woy Woyo Woy Woy

Or was it only me?

(@-@)
 
Kiranga bana,

Hapa umedai,

Kwa sababu otherwise Bob Marley is a bible thumping singer.

Let's say alikuwa hivyo,is this has anything to do with us?If yes why?

Ukaendelea,

Ni kwenye habari nzima ya mbinguni na Yesu kurudi, kwa mujibu wa Bob Marley na Biblia

Mh!kama Bob marley kasema au kajichangaya au kachanganyikiwa ni suala lake,halafu mambo ya wimbo wake na maana yake yeye mwenyewe ndio anajua hayatuhusu sisi

Kunatuonesha kwamba hata bible thumping singers wanaona biblia haina ukweli, hivyo kutufanya tuulize zaidi ukweli wa biblia

Unasubiri mpaka mtu aseme jambo ndo na wewe useme?Hlafu kwani Bob Marley ni bible thumping au wewe ndo hujamuelewa?again hata angekuwa hivyo haituhusu na hata kama yeye ana mashaka nayo ni yeye na bob ni mtu kama wewe na mwingine tu!

Nani kasema hayatuathiri?

Mimi nimekuuliza wewe kwanini tujadili jambo ambalo hujasema kama linatuathiri ama la,na kama lina athari kwetu ni kivipi

Kipi kimekufanya ufikiri hayatuathiri?

Nani amekuambia nafikiri hivyo?

Kwa nini unauliza swali na kulijibu kabla hujajibiwa?

Swali gani?
 
Last edited by a moderator:

Kiranga akibana hutampenda.

Hapa umedai,

Kwa sababu otherwise Bob Marley is a bible thumping singer.

Let's say alikuwa hivyo,is this has anything to do with us?If yes why?
Because we inhabit a planet influenced by the arts and in this case music in particular, an because Bob Marley holds a lot of currency in matters of culture and the identity of black people. "Sisi" ni nani? Na nani alikupa ubunge wa kusemea hao "sisi"?
Watu wanamsikiliza Bob Marley kila siku dunia nzima, watoto wanajenga falsafa za maisha yao kwa mujibu wa muziki wa Bob Marley, wengine wanaenda madarasani na madaftari, si ya Physics na Biology, bali ya mashairi ya Bob Marley.

Sasa utasemaje "hayatuhusu sisi"? Sisi gani hao?
Unasubiri mpaka mtu aseme jambo ndo na wewe useme?

Wapi umelipata hili? Ni wazi nimekuwa mtu wa kwanza kuhoji kama Bob Marley anaamini mungu hapa JF. Naomba unioneshe mwingine aliyewahi kusema hiki kitu. Na kama huwezi kunionesha hilo, nitakuwaje "nasubiri mpaka mtu aseme jambo ndo na mimi niseme"?
Hlafu kwani Bob Marley ni bible thumping au wewe ndo hujamuelewa?
Wewe unaelewa kuwa bible thumping ni nini? Unasikiliza lyrics za Bob Marley?
again hata angekuwa hivyo

Angekuwa hivyo swali lako la juu lingekuwa moot, wewe kuuliza tu hilo swali kumeonesha kwamba sio suala la kulipuuzia.
haituhusu

"Haituhusu" nani? Na kwa nini?
na hata kama yeye ana mashaka nayo ni yeye na bob ni mtu kama wewe na mwingine tu!
Na kila mtu ana nafasi ya kuheshimiwa kama binadamu, kwa hiyo si muhimu kum discuss Bob Marley tu, the world famous singer, bali hata a no name 9 year old hunger stricken Haitian AIDS orphan. Sembuse megastar Marley.

Mimi nimekuuliza wewe kwanini tujadili jambo ambalo hujasema kama linatuathiri ama la,na kama lina athari kwetu ni kivipi

Nimeeleza hapo juu, jinsi gani kuna watu wengi wanaojenga falsafa za maisha yao kwa kuangalia na muziki wa Bob Marley, utasemaje mashairi yake hayatuathiri?

Nani amekuambia nafikiri hivyo?
Wewe mwenyewe, umeuliza "Na kama hayatuathiri kuna haja gani ya kuyajadili?"

Swali gani?

Umeuliza na kabla hujajibiwa ukajijibu kwa swali lingine "Na je,kujikinza huko kunatuathiri vipi sisi wasikilizaji?Na kama hayatuathiri kuna haja gani ya kuyajadili?"
 
Kiranga akibana hutampenda

Waoooooo!!!!kumbe Kiranga anataka aachie ili apendwe!endelea kuachia!!!!!!

Because we inhabit a planet influenced by the arts and in this case music in particular, an because Bob Marley holds a lot of currency in matters of culture and the identity of black people.

Umetoa wapi hii?What black people?Kwanini unawasemea watu wengine?unajua ni watu weusi wangapi wanamsikiliza Bob Marley?Na unajua ni wangapi wanamjua?

Watu wanamsikiliza Bob Marley kila siku dunia nzima, watoto wanajenga falsafa za maisha yao kwa mujibu wa muziki wa Bob Marley, wengine wanaenda madarasani na madaftari, si ya Physics na Biology, bali ya mashairi ya Bob Marley.

Unajichanganya sana,uliposema haya umesahau kama umeniambia maneno haya:
Na nani alikupa ubunge wa kusemea hao "sisi"?
Sasa nakuuliza wewe ni nani amekupa ubunge wa kuwasemea hao unaodai kuwa wanajenga falsafa za maisha yao kwa mujibu wa maisha ya Bob Marley?

Wewe unaelewa kuwa bible thumping ni nini?

Why don't you tell me?wewe ndo umeyaleta hayo maneno hapa halafu unaniuliza tena mimi?AU HUJUI MAANA YAKE?

Na kila mtu ana nafasi ya kuheshimiwa kama binadamu

Nakubaliana na hili lakini kwani kuna aliedharauliwa?

kwa hiyo si muhimu kum discuss Bob Marley

Sijui umekunywa valuu?Sasa imekuaje umeanzisha hii mada?

Nimeeleza hapo juu, jinsi gani kuna watu wengi wanaojenga falsafa za maisha yao kwa kuangalia na muziki wa Bob Marley, utasemaje mashairi yake hayatuathiri?

Nani kakupa mamlaka ya kuwasemea hao?Uko wapi ushahidi wa hayo uliyosema?

Umeuliza na kabla hujajibiwa ukajijibu kwa swali lingine "Na je,kujikinza huko kunatuathiri vipi sisi wasikilizaji?Na kama hayatuathiri kuna haja gani ya kuyajadili?"

Wapi?
 
Last edited by a moderator:
Kiranga akibana hutampenda

Waoooooo!!!!kumbe Kiranga anataka aachie ili apendwe!endelea kuachia!!!!!!

Wewe wasema, one track minds always zitaona kama si kubana ni kuachia.

Umetoa wapi hii?What black people?Kwanini unawasemea watu wengine?unajua ni watu weusi wangapi wanamsikiliza Bob Marley?Na unajua ni wangapi wanamjua?
Nimetoa wapi nini? What is "What black people"? Siwasemei watu wengine, angalia hapo juu wanakuambia tangu watoto wanasikiliza muziki wa Bob Marley na ku form falsafa zao za kuwa conscious kwa muziki huu, msome Plancscale hapo juu. Bob Marley is a household name, if you want to play anti-pope in rhetoric, play it well, right now you are debasing the art.

Unajichanganya sana,uliposema haya umesahau kama umeniambia maneno haya:
Tofauti na wewe, mimi sisemei mtu, nasema kilichopo. Big difference. Wewe hata huja define sisi gani unaongelea.
Sasa nakuuliza wewe ni nani amekupa ubunge wa kuwasemea hao unaodai kuwa wanajenga falsafa za maisha yao kwa mujibu wa maisha ya Bob Marley?
Mimi si mbunge, acha kunishusha, mimi ni Pontif of profligate proclamations.

Why don't you tell me?wewe ndo umeyaleta hayo maneno hapa halafu unaniuliza tena mimi?AU HUJUI MAANA YAKE?
You should have asked me this in the first place.
Nakubaliana na hili lakini kwani kuna aliedharauliwa?

Kusema kwa nini tusi m discuss Bob katika hii context ni kumdharau, kwamba hafai kuwa discussed.

Sijui umekunywa valuu?Sasa imekuaje umeanzisha hii mada?
Swali lishajibiwa, swali kwako ni kwa nini wewe unauliza kwa nini nimeanzisha hi mada? Kitu gani kinaifanya mada hii siswe na umuhimu wa kuwa discussed? Plancscale katoa post iliyonielimisha sana kwa nini watu wengi wanampenda Bob Marley - hata wale wanaoonekana ni die hard fans- bila hata ya kumuelewa kila nyanja wala kukubaliana naye. At the very least nimepata insight kuhusu mapokeo ya watu kuhusu Bob Marley, that alone is reason enough to start a thread like this, isn't JF supposed to be a place to exchange experiences?
Nani kakupa mamlaka ya kuwasemea hao?Uko wapi ushahidi wa hayo uliyosema?
Sijawasemea, wamesema wenyewe, case in point Planckscale. Unaisoma hii thread au kuendekeza antipapacy tu?

Hapo juu niliponukuu, unajua kusoma?
 
Aliamini Mungu katika kipindi cha mwisho wa uhai wake duniani alipata nafasi ya kusikia gospel.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Bob Marley alikuwa mtu mweusi kwani? Na mtu mweusi ni yupi hasa?
 
Bob Marley alikuwa mtu mweusi kwani? Na mtu mweusi ni yupi hasa?

Mwambie Kiranga akujibu maana anadai "watu weusi" wanamsikiliza sana!!!!Sijui hao watu weusi ndo kina nani!
 
Last edited by a moderator:
Mwambie Kiranga akujibu maana anadai "watu weusi" wanamsikiliza sana!!!!Sijui hao watu weusi ndo kina nani!

Mulize Nyani Ngabu anayehubiri "Miafrika ndivyo tulivyo" Miafrika ni kina nani.

Kinyamwezi hata ukiwa Octoroon kama Boehner wewe mweusi.

Wakati Brazil mtoto wa mchanganyiko ni "mulatto".

Pick your definition, Bob Marley, as Macka B said, is big averywhere lyrically speaking.
 
Ethiopia kuna pahala panaitwa Shashamani. Ni kijiji cha marastafari. Wamejaa huko nyomiiii.
 
“Bob Marley himself, before he died, he got
baptized in the name of the Lord Jesus Christ,”
Tommy says with much conviction. “What does
Selassie teaches That Jesus Christ is the way. As
a matter of fact, in one song you would have
heard him militantly (saying) ‘how they crucified my Jesus Christ and they sold Marcus
Garvey for rice.’One of his songs said, ‘Give us
the teachings if his majesty because we dona’t
want the devil’s philosophy.’ Bob, Tommy
recalls, called the bishop of the Ethiopian
Orthodox Church and told him I need to be baptized now. Just recently Tommy was
speaking with the said bishop who described
Bob’s baptism. “At one point he (Bob) cried for
45 minutes non-stop; his tears wet the floor.
And the Holy Spirit came down upon his body
and he cried out Jesus Christ three times ‘Jesus my Savior, Jesus Christ…’”
 
Aise umenifungua akili nilidhani ni maneno ya Jomo Kenyatta kuhusu biblia na ardhi kumbe aliyachukua kutoka kwa marastafari
 
God is a certain power which is still not clear to us? How do you know this power is god and not a version of gravity or some other unbeknownst natural power?

Kwa hiyo kiranga huamini kwamba somehow we are creations of God?kwa ujuaji wako wewe viumbe tumetokea wap?
 
Nafikiri alikuwa akiamini katika MUNGU huyu tunayemwani sisi; Mungu Muumba wa Ulimwengu na vitu vyote.
Aliposema: Almighty God is a living man, hakumaanisha 'man' kwa maana ya binadamu. Alimaanisha 'deity'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…