Bob Marley aliamini Mungu kweli?

Bob Marley aliamini Mungu kweli?

Kiranga, wewe unaweza ukaendelea kuamini unachokiamini, it is your choice brother. Mimi nitaendelea ni imani yangu maana sikondi wala sipungui kwa kuamini Mungu yupo, nimejifunza kuwa yupo na sio kwa kuwa dini zinasema yupo bali moyo wangu na nilipoamua kuutafuta ukweli.

“Life and Jah are one in the same. Jah is the gift of existence. I am in some way eternal, I will never be duplicated. The singularity of every man and woman is Jah's gift. What we struggle to make of it is our sole gift to Jah. The process of what that struggle becomes, in time, the Truth.” Bob Marley

“I don't stand for black man's side, I don't stand for white man's side, I stand for God's side.” Bob Marley

“Don't Gain The World & Lose Your Soul, Wisdom Is Better Than Silver Or Gold.” Bob Marley

LOVE IS MY RELIGION - ZIGGY MARLEY.
 
Nadhani wewe ndio hujanielewa mimi vizuri. Ndio maana niliwekea rangi maneno ya IGWE niliyokuwa nimeyachagua katika kujibu.

Ukimsoma IGWE nakiri kwamba ingawa yeye ni muumini wa dini za mapokeo kama wewe, lakini angalau anaelewa kwamba anafanya hivyo kwa utamaduni tu na kuamini huko hakuna maana kwamba ana uphold imani hizo kama ukweli.
 
===> Sayansi ina hatua zifuatazo Steps of the Scientific Method

Angalau sayansi ina test accuracy, imani haina test, ukishaanza kutest unatoka kwenye imani, unaingia katika sayansi.
[h=2]Key Info[/h]
  • The scientific method is a way to ask and answer scientific questions by making observations and doing experiments.
  • The steps of the scientific method are to:
    • Ask a Question
    • Do Background Research
    • Construct a Hypothesis
    • Test Your Hypothesis by Doing an Experiment
    • Analyze Your Data and Draw a Conclusion
    • Communicate Your Results
  • It is important for your experiment to be a fair test. A "fair test" occurs when you change only one factor (variable) and keep all other conditions the same.
  • While scientists study how nature works, engineers create new things, such as products, websites, environments, and experiences.
 
Ukimsoma IGWE nakiri kwamba ingawa yeye ni muumini wa dini za mapokeo kama wewe, lakini angalau anaelewa kwamba anafanya hivyo kwa utamaduni tu na kuamini huko hakuna maana kwamba ana uphold imani hizo kama ukweli.

Mimi SIPO KWENYE DINI YA KIMAPOKEO MAANA IM SPIRITUALLY AND NOT RELIGIOUS.
 
Kiranga, wewe unaweza ukaendelea kuamini unachokiamini,

Hapana, naona hatulewani.

Mimi sitaki kuamini. Nataka kutoka kabisa katika kuamini na kuelekea zaidi kujua. Kwa hiyo kuniambia niendelee kuamini ninachoamini si kunitakia mazuri.

it is your choice brother.

Hapana,

The fact kwamba nimezaliwa na macho yasiyoona infrared rays na x ray si choice yangu. The fact kwamba tunaamini au kujua kutokana na uwezo tulio nao si choice yetu. The fact kwamba kuna watu kibao wanaamini mungu kwa sababu wamezaliwa katika familia zinazoamini mungu inafanya kuamini mungu kuwe si choice yao.

Kuamini/ kutoamini mungu is not entirely a matter of choice. Mtoto anayezaliwa katika lineage ya Bertrand Russell huwezi kusema ana choice sawa ya kuamini/ kutoamini na mtoto wa Sheikh Ponda.

Mimi nitaendelea ni imani yangu maana sikondi wala sipungui kwa kuamini Mungu yupo,

Imani ushaambiwa unaweza kuamini hata vibwengo, kwa hiyo sio issue kwa sababu unaruhusiwa kuamini chochote, tabu unajua?

Halafu kusema kwamba "sikondi wala sipungui kwa kuamini mungu" ni kuwa simplistic.

Inawezekana ukiamini mungu (ambaye hayupo) ukaamini kwamba maneno ya binadamu ambayo yameletwa kwako kama maneno ya mungu kwamba usile nyama na ni lazima utoe asilimia kumi ya mshahara wako kanisani, na ni lazima umtii mfalme na kupigania jeshi lake, sio tu ukakonda na kupungua, bali pia kufa huku ukipigania ukandamizaji wako mwenyewe.

nimejifunza

Ungejua kujifunza ungejua kwamba hakuna kujifunza bila kuruhusu maswali. Na nimeuliza maswali kibao ambayo hujajibu mpaka kufikia hatua ya kusema ""sometime ni bora kuwa na imani kuliko kuwa na swali lisilo na jibu". Huna nia ya kujifunza.Nia yako ni kutulia na imani moja.

kuwa yupo na sio kwa kuwa dini zinasema yupo bali moyo wangu na nilipoamua kuutafuta ukweli.

Moyo wako umeamua kutulia na imani moja kabla ya kutafuta ukweli, huwezi kusema kwamba umetafuta ukweli.

"Life and Jah are one in the same. Jah is the gift of existence. I am in some way eternal, I will never be duplicated. The singularity of every man and woman is Jah's gift. What we struggle to make of it is our sole gift to Jah. The process of what that struggle becomes, in time, the Truth." Bob Marley

Gibberish. Life is full of corruption. Is Jah full of corruption? Existence is full of injustice, is Jah's gift injustice? The process of everyone's struggle becomes the truth? Does the process forwarding lies eventually turn into truth?

"I don't stand for black man's side, I don't stand for white man's side, I stand for God's side." Bob Marley
Yes, but who exactly is god?

"Don't Gain The World & Lose Your Soul, Wisdom Is Better Than Silver Or Gold." Bob Marley

Bob Marley mchuuzi wa maneno, wala huwezi kumpa attribution ya verses za biblia na busara nyingine za kale zaidi ya mbari yake yote.

If you really value wisdom, you would value inquiry over complacency.

LOVE IS MY RELIGION.

And religion is the opiate of the masses!
 
Hahahaaaaa. Nimejikuta nacheka. Kwani kuamini maana yake ni nini?
 
Mimi SIPO KWENYE DINI YA KIMAPOKEO MAANA IM SPIRITUALLY AND NOT RELIGIOUS.

Ukishasema I am spiritually tayari upo katika mapokeo.

Spirit - unless unaongelea kinywaji- ni mapokeo.

Ni dini mpya tu inayotaka kujivua gamba.

Ukishaenda kuamini supernatural powers, haijalishi kama unaamini rasta, uchawi au ukristo, zote ni dini tu.
 
Hahahaaaaa. Nimejikuta nacheka. Kwani kuamini maana yake ni nini?

Kuamini maana yake ni kukubali kitu bila kujua.

Kwa mfano, naenda kwa rafiki yangu Apollo. Sijui kama yupo kwake, sijui kama nitamkuta, naamini atakuwepo maana kawaida weekend anapumzika nyumbani.

Sijui, lakini kutokujua huku hakunizuii nisiende. Naenda kwa imani tu.
 
Ukishasema I am spiritually tayari upo katika mapokeo.

Spirit - unless unaongelea kinywaji- ni mapokeo.

Ni dini mpya tu inayotaka kujivua gamba.

Ukishaenda kuamini supernatural powers, haijalishi kama unaamini rasta, uchawi au ukristo, zote ni dini tu.

Zamani nilifikiri kuwa wewe unayajua mengi na ni mtu ambaye mwelewa na mjuzi wa mambo mwenye kuchambua jambo kwa kuangalia pande zote zinasemaje. Una Self-centerdness kwamba unaona unachokijua wewe ni right! Katafute maana ya Spiritual.

Kuamini uwepo wa Mungu sio kuamini dini. NI VITU VIWILI TOFAUTI. Unapovichanganya unakosea.
 
Nasikitika kwamba zamani ulikosea, mimi si mjua mengi kihivyo.

Umeniambia nitafute maana ya neno "spiritual"

spir·it·u·al

   [spir-i-choo-uhl] Show IPA

adjective1.of, pertaining to, or consisting of spirit; incorporeal.

2.of or pertaining to the spirit or soul, as distinguished fromthe physical nature: a spiritual approach to life.

3.closely akin in interests, attitude, outlook, etc.: theprofessor's spiritual heir in linguistics.

4.of or pertaining to spirits or to spiritualists; supernatural orspiritualistic.

5.characterized by or suggesting predominance of the spirit;ethereal or delicately refined: She is more of a spiritual typethan her rowdy brother.

Kote humo utaona kunaturudisha kwenye supernatural beliefs kuliko ujuzi.

Sasa wewe unayeamini mizimu na Jah spirit iliyo supernatural, yule mchawi anayeamini uchawi na mkristo anayeamini roho mtakatifu - zote spirits hizo zinazotakiwa kuwa katika realm ya supernatural, kimsingi mna tofauti gani?

Nikikwambia kwamba zote ni religions tu, nyingine ni organized zinakufunga sana kila kitu kinatika kwa papa, nyingine zinakupa uhuru zaidi kwa kukuambia mambo yote ni "I AND I", unaweza kula sacrament ukageuza risasi za babylon ziwe maji, utakataa?

Kwa nini watu wanaoamini katika disorganized religion wanajiona wako distinct sana na watu wanaoamini katika organized religions eti kisa tu wanajiona "mimi sio religious lakini ni spiritual"?

Kuwa spiritual na religious fundamental difference ni nini ukiondoa kwamba hawa wengine wameambiwa wasali kuelekea Mecca na wewe unasali kuelekea chaka lolote utakalojisikia siku hiyo? Wote si mnasali kuomba supernatural powers tu?

Achana na kuamini kuwepo kwa mungu kufananishwa kuwa sawa na dini. Hata usipoamini kuwepo kwa mungu kwa sababu za dogmatic unaamini dini.

Swala si kwamba unaamini mungu au huamini mungu. Zaidi ya kuamini au kutoamini mungu, muhimu ni sababu zinazokufanya uamini au usiamini mungu.

Kuna makomredi hawaamini mungu mpaka leo kwa sababu Stalin na Lenin kasema hivyo, hawa nao ni wanadini ya ukomunisti tu wala siwezi kuwapandisha sana chati kwamba hawana dini.

Mtu ambaye haamini mungu kwa sababu baba yake haamini mungu ni mfuasi wa dini ya kutoamini mungu.

Mtu anayeamini kuwepo kwa mungu kwa sababu baba yake anaamini kuwepo kwa mungu anafuata dini ya kuamini kuwepo kwa mungu.

Mtu asiyeamini mungu kwa sababu hajaridhishwa na uzuri arguments za kuwepo kwa mungu empirically haamini kuwepo kwa mungu kwa sababu zilizo nje ya dini.

Mtu ambaye anaamini mungu kwa sababu karidhishwa na uzuri wa arguments za kuwepo kwa mungu empirically haamini mungu kidini.

Kuamini maana yake ni kukubali kitu bila kujua.

Kwa mfano, naenda kwa rafiki yangu Apollo. Sijui kama yupo kwake, sijui kama nitamkuta, naamini atakuwepo maana kawaida weekend anapumzika nyumbani.

Sijui, lakini kutokujua huku hakunizuii nisiende. Naenda kwa imani tu.

Mfano ukishachunguza jambo, ukapata ukweli. Mfano malaria inasababishwa na Mbu, then hutaamini kuwa mbu ndio chanzo cha malaria kwa kuwa umechunguza ukagundua hivyo?

Narudia tena, mkuu jaribu kuwa mtu wa kuchambua jambo kwa pande zote mbili. Maana uliyonipa, kiakili ni mahana haba ambayo ulidhamiria kutetea mawazo yako.

Kuamini jambo, sio imagination tu, unaweza ukaamini hata jambo ambalo umeshalichunguza sio kwamba mtu anaamini jambo ambalo hajalichunguza tu.
 
Nasikitika kwamba zamani ulikosea, mimi si mjua mengi kihivyo.

Umeniambia nitafute maana ya neno "spiritual"

[h=2]spir·it·u·al[/h]   [spir-i-choo-uhl] Show IPA
adjective1.of, pertaining to, or consisting of spirit; incorporeal.

2.of or pertaining to the spirit or soul, as distinguished fromthe physical nature: a spiritual approach to life.

3.closely akin in interests, attitude, outlook, etc.: theprofessor's spiritual heir in linguistics.

4.of or pertaining to spirits or to spiritualists; supernatural orspiritualistic.

5.characterized by or suggesting predominance of the spirit;ethereal or delicately refined: She is more of a spiritual typethan her rowdy brother.

Kote humo utaona kunaturudisha kwenye supernatural beliefs kuliko ujuzi.

Sasa wewe unayeamini mizimu na Jah spirit iliyo supernatural, yule mchawi anayeamini uchawi na mkristo anayeamini roho mtakatifu - zote spirits hizo zinazotakiwa kuwa katika realm ya supernatural, kimsingi mna tofauti gani?

Nikikwambia kwamba zote ni religions tu, nyingine ni organized zinakufunga sana kila kitu kinatika kwa papa, nyingine zinakupa uhuru zaidi kwa kukuambia mambo yote ni "I AND I", unaweza kula sacrament ukageuza risasi za babylon ziwe maji, utakataa?

Kwa nini watu wanaoamini katika disorganized religion wanajiona wako distinct sana na watu wanaoamini katika organized religions eti kisa tu wanajiona "mimi sio religious lakini ni spiritual"?

Kuwa spiritual na religious fundamental difference ni nini ukiondoa kwamba hawa wengine wameambiwa wasali kuelekea Mecca na wewe unasali kuelekea chaka lolote utakalojisikia siku hiyo? Wote si mnasali kuomba supernatural powers tu?

Hayo ni mawazo yako, na ndio maana wewe ni Kiranga na mimi ni Apollo. Sina nia ya kuponda mawazo yako, wewe niache na mawazo yangu, hicho ndicho kinachonifanya niquote maneno yako na kuendelea kukaa kwenye huu uzi.
Maana za spirituality ulizoleta sijui ulipozipata but, hazina maana ya Spirituality ya personal beliefs.

RELIGION is a mind control BUSINESS for MONETARY GAIN and POWER. SPIRITUALITY is the SPIRIT of your own IN-TU-ITion about KNOWING YOURSELF.

The very purpose of spirituality is self- discipline. Rather than criticizing others, we should evaluate and criticize ourselves.
 
Mfano ukishachunguza jambo, ukapata ukweli. Mfano malaria inasababishwa na Mbu, then hutaamini kuwa mbu ndio chanzo cha malaria kwa kuwa umechunguza ukagundua hivyo?

Narudia tena, mkuu jaribu kuwa mtu wa kuchambua jambo kwa pande zote mbili. Maana uliyonipa, kiakili ni mahana haba ambayo ulidhamiria kutetea mawazo yako.

Kuamini jambo, sio imagination tu, unaweza ukaamini hata jambo ambalo umeshalichunguza sio kwamba mtu anaamini jambo ambalo hajalichunguza tu.

Inaelekea definition ya kuamini hujaifahamu. Huwezi kuamini baada ya kuchunguza chanzo cha malaria ni nini na kujua kwamba ni Malaria.

Utakuwa umejua.

Kujua si sawa na kuamini.

Ukiwa na shilingi, kabla ya kuitupa ukabashiri, unasema "naamini itaangukia kichwa, na si mwenge". Unaamini kwa sababu hujui.

Huwezi kusubiri shilingi iangukie kichwa, halafu uone imeangukia kichwa, halafu useme "naamini shilingi imeangukia kichwa".

Utakuwa unahadaa watu, kwa sababu ushaona, ushajua. Ukishajua hakuna kuamini, na ili kuamini inabidi usijue.

Kuamini na kujua haviendani pamoja. Ama unaamini, ama unajua.
 
Hayo ni mawazo yako, na ndio maana wewe ni Kiranga na mimi ni Apollo. Sina nia ya kuponda mawazo yako, wewe niache na mawazo yangu, hicho ndicho kinachonifanya niquote maneno yako na kuendelea kukaa kwenye huu uzi.
Maana za spirituality ulizoleta sijui ulipozipata but, hazina maana ya Spirituality ya personal beliefs.

RELIGION is a mind control BUSINESS for MONETARY GAIN and POWER. SPIRITUALITY is the SPIRIT of your own IN-TU-ITion about KNOWING YOURSELF.

The very purpose of spirituality is self- discipline. Rather than criticizing others, we should evaluate and criticize ourselves.

Hiyo definition ya spirit nimeipata kwa wenye lugha yao wenyewe Dictionary.com | Find the Meanings and Definitions of Words at Dictionary.com

Labda wewe utueleze unaposema "The very purpose of spirituality is self- discipline. Rather than criticizing others, we should evaluate and criticize ourselves." unaipata wapi hii purpose?

Wewe kwa kuja hapa kutaka kunionyesha view yangu si sawa tayari usha ni criticize, na wewe ndiye umesema kwamba wewe si religious bali ni spiritual, huoni kwamba kwa kusema nakosea kwa kutumia spirituality yako kama compass tayari ushaji contradict wewe mwenyewe definition yako ya spirituality?
 
Inaelekea definition ya kuamini hujaifahamu. Huwezi kuamini baada ya kuchunguza chanzo cha malaria ni nini na kujua kwamba ni Malaria.

Utakuwa umejua.

Kujua si sawa na kuamini.

Ukiwa na shilingi, kabla ya kuitupa ukabashiri, unasema "naamini itaangukia kichwa, na si mwenge". Unaamini kwa sababu hujui.

Huwezi kusubiri shilingi iangukie kichwa, halafu uone imeangukia kichwa, halafu useme "naamini shilingi imeangukia kichwa".

Utakuwa unahadaa watu, kwa sababu ushaona, ushajua. Ukishajua hakuna kuamini, na ili kuamini inabidi usijue.

Kuamini na kujua haviendani pamoja. Ama unaamini, ama unajua.

Kuamini na kujua haviendani, nalijua hilo. Ila wewe unatafutaga mifano yoyote ambayo unaipachika na kutetea hoja yako. Ni sawa na kutunga sentensi katika chekechea, utapachika then maana itakuja.

Unaposema unajua means unafahamu kitu 100%.

Ila istilahi inaweza kuwa na maana zaidi ya moja. Tusipoteze muda kung'ang'ani maana moja tu.
 
Hiyo definition ya spirit nimeipata kwa wenye lugha yao wenyewe Dictionary.com | Find the Meanings and Definitions of Words at Dictionary.com

Labda wewe utueleze unaposema "The very purpose of spirituality is self- discipline. Rather than criticizing others, we should evaluate and criticize ourselves." unaipata wapi hii purpose?

Wewe kwa kuja hapa kutaka kunionyesha view yangu si sawa tayari usha ni criticize, na wewe ndiye umesema kwamba wewe si religious bali ni spiritual, huoni kwamba kwa kusema nakosea kwa kutumia spirituality yako kama compass tayari ushaji contradict wewe mwenyewe definition yako ya spirituality?

Kasome wikipedia wameeleza vizuri maana na categories zake.

SINA NIA YA KUKUPINGA KAMA UMENIELEWA, NIA NI UACHE KUNIANDAMA MAWAZO YANGU. Ndio maana nilishasema kuwa hayo ni mawazo yako, they have nothing to do with my life.

Ninachopinga ni upotoshaji kuwa Bob Hakuamini uwepo wa Mungu. Wakati youtube videos kibao ameongelea how he Feel about Jah. Movie ya kuelezea maisha ya Bob ya Marley 2012 wamemquote.

KAMA HITIMISHO HAMNA HAINA HAJA YA MJADALA TENA, NI KUENDELEA NA UPANDE WAKO.
 
Funny dude, unapinga mimi ku-impose mawazo yangu kwako kwa wewe ku-impose mawazo yako kwangu?

Bob Marley far and above anything was a businessman. Sasa kama yeye kapata umaarufu on the Rastafari bandwagon ulitegemea aji shoot in the foot kwa kusema haamini mungu? Ili iweje? Sales za muziki wake zishuke na alichosimamia maisha yote - mzuka wa Rastafarianism- kiyeyuke mara moja?

Hivi nikikwambia kwamba Papa kwa elimu yake aliyopata kidini kuna uwezekano mkubwa sana akawa haamini kwamba mungu yupo utaamini?

Utategemeaje mtu awe objective katika kitu kinachompa economic advantage, fortune and fame?

Wewe unaposikia "Almighty god is a living man", kwamba god is a man, kutoka katika wimbo wa Bob Marley, unaelewaje?
 
I-tation by Norman H. Redington
In Ethiopia the pre-Easter "Lent"
-- Hudade Tsome -- is observed
with abstinence from certain
foods, confession of faults, the
performance of long church
services using special music in a
special mode heard only at this
time of year... in short, by
"religious activities". But if that is
all they are, Hudade has
completely failed in its purpose,
which is to liberate man and
woman from every idol, including
"religion", and put them in touch
with the Living JAH.
Thus, many Orthodox believers
are particularly fond of Bob
Marley's song "Stand Up for Your
Rights", a song so Christian, and
therefore so shockingly anti-
religious, that attempts have
been made by some to portray it
as satanic when the very
opposite is true!
Get up, stand up, stand up for
your rights
The word "rights" here means
not only political and economic
rights (although they are
included); "rights" translates the
word "zedek", common (in some
spelling) to Hebrew, Amharic, and
Ge'ez. ["Zedekiah" = Zedek Jah =
Jah's Righteousness.] It denotes
perfect conformity with the Love
of God: as Marley sings in
another song, "They sold Marcus
Garvey for rights".
Most people think great god will
come from the sky
Well, are they wrong? This was,
after all, proclaimed in almost
exactly those words by the
Ethiopian Church Council of
Negus Joshua, and no Rastafari
Bredren doubts that the End will
come, JAH will be revealed in
glory, the Black Star Liner will sail.
The error is not the statement of
fact GREAT GOD WILL COME FROM
THE SKY but in the way MOST
PEOPLE THINK.
Slaves think what their masters
want; slave-masters (including
the invisible non-human slave-
masters who kept the plantation-
owners themselves as slaves)
have always promoted religion
as the "opium of the people", a
drug to prevent both political
and spiritual awakening. What
use is a mythical, non-existent
god unconnected to creation?
Take away everything:
The evil one always claims that
God is uninvolved with matter,
interested only in the spirit. It
hardly matters whether the
implication is that only matter
exists or that matter is an
illusion; either way God is exiled
to a shadowy ghost-world far
from ours. The Orthodox
teaching however is that there is
"tewahido", a complete oneness,
in the universe: "Thou art
everywhere and fillest all things."
God is more real than the
universe itself and he is not far
away, but here; he will make all
things new, not TAKE AWAY
EVERYTHING.
And make everybody feel high:
Note the assumption -- which is
indeed how MOST PEOPLE THINK!
-- that they are safe from the
Great Judgement. God will excuse
my little transgressions, won't
he? We'll all be in heaven by and
by, right?
But if you know what life is
worth, you will look for yours on
earth:
Look for it, because it is lost. On
earth, because that is where we
are, and more importantly
because (glory be to JAH) that is
where He is too: "Say not in thy
heart, Who shall ascend into
heaven? -- that is, to bring Christ
down from above -- or, Who shall
descend into the deep -- that is,
to bring up Christ from the dead
-- but rather, the word is nigh
thee."
Waking up to this reality,
realizing the presence of JAH
here and now, is the purpose of
the various Hudade exercises:
Get up, stand up, stand up for
your rights.
Sick and tired of your easing,
kissing game, dying and going to
heaven in Jesus' name:
The whole hypocritical charade
of otherworldly religion, which
bears no fruit (tafari) either in
political justice or personal
holiness. "Neither like Judas will I
give thee a kiss, but like the Thief
I cry unto thee, Egzio Iyasus
Krestos, Son of God, have mercy
upon me a sinner."
For we know and we understand
almighty God is a living man:
Indeed, the only fully living Man.
The rest of us live only to the
extent that we live in HIM.
Without HIM, we are duppies
haunting the earth even before
our physical deaths, but with HIM
we are so alive that physical
death is a minor matter. Indeed,
although we will someday
experience physical death and
physical resurrection (for good
or for ill), this is almost
unimportant, because NOW is the
day of duty (hudade): "Behold,
THIS day have I set two roads
before you, one to life and one to
death. Choose life therefore, that
ye may live."
Get up, stand up, stand up for
your rights.
 
Hiyo haikuwa proof at all. Ilikuwa argument. Know the difference.

It's ok, but the argument implies, what u had in mind when arguing is that, "there's no god because of so & so" which to me is not correct.
The way i imagine
god is a certain power which is still not clear to us but it doesn't have value judgement so the word "fyongo" wouldn't apply to that god, other wise uwe na picha fulani ya mungu ambeye unamfikiria wewe na ndiyo maana pengine arguments zitakuwa in different grounds.
 
Back
Top Bottom