Bob Marley aliamini Mungu kweli?

Huwezi kuijua lugha ya Sanaa kama sio Msanii. (Nikisema Msanii namaanisha Msanii Kiuhalisia). Msanii ni Mwanafalsafa kamili.
Falsafa halisi hubeba ujumbe unaofikirisha. Sijaona chochote kibaya alichokiimba Bob hata tuseme hakumwamini Mwenyezi Mungu. Zaidi sanaa yake imekamilika kiasi kwamba miaka mingi tangu kifo cheke bado nyimbo zake zinafikirisha, kufundisha na kuelimisha.
 
...."God why did you give me cancer, while i did no wrong to anybody"- Bob Marley.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…