Bob Marley aliamini Mungu kweli?

Bob Marley aliamini Mungu kweli?

Unaweza kuuliza kwa nini kichwa cha thread hii kiwe muhimu. Unaweza hata usiwe mtu unayemsikiliza Bob Marley, lakini ukweli unabakia kuwa huyu jamaa ni icon. Mpaka leo kutoka, Brooklyn Bangladesh mpaka Bulyankulu, Tanangozi, Texas mpaka Tahrir watu wanamuelewa.

Kwa kuwa huyu ni mtu mwenye gravita hiyo, na Rastafarians wanaamini mungu, na yeye ndiye icon wao, nakuwa na maswali.

Kuna sehemu anaonekana kama anaamini mungu, mathalani katika makala ya Birmingham Post mwaka 2008 alinukuliwa kusema (check the Wiki)

I am not sure on whether he was dipping into a specific god or the Einstenian "great unknown" "god does not play dice", metaphoric god.

The Rutherford "Onward Christian soldiers" while deconstructing the structure of the atom "god".

Halafu tena, kwangu mimi, kamtaja god huyo huyo in a very liberating manner kwa sisi tusioamini, katika wimbo wake "Get Up, Stand Up". It should be noted muimbaji wa kipande chenye mvuto zaidi -angalau kwangu- katika wimbo huu ni ni Peter McIntosh.

Lakini kwa nini Tosh alisema "Almighty God is a living man"? Kwa nini Bob aliyekuwa kinara wa bendi aliruhusu mashairi haya yachapwe kwa jina lake?

Je, Bob Marley na Peter Tosh hawakuamini kuwapo kwa mungu na waliamini kwamba idea nzima ya "mungu" ni kazi ya wanadamu walioishi kama sisis na ndio maana wakasema "Almighty god is a living man"

"Almighty God is a living man" for god's sake, hivi mamilioni ya nakala za wimbo huu zinaposikilizwa watu huwa wanaelewa hiki kipande au wanaruka tu?

Wimbo wote huu hapa chini.'

Get up, stand up: stand up for your rights!

Get up, stand up: don't give up the fight!

Preacher man, don't tell me,
Heaven is under the earth.
I know you don't know
What life is really worth.
It's not all that glitters is gold;
'Alf the story has never been told:
So now you see the light, eh!
Stand up for your rights. come on!

Get up, stand up: stand up for your rights!
Get up, stand up: don't give up the fight!
Get up, stand up: stand up for your rights!
Get up, stand up: don't give up the fight!

Most people think,
Great god will come from the skies,
Take away everything
And make everybody feel high.
But if you know what life is worth,
You will look for yours on earth:
And now you see the light,
You stand up for your rights. jah!
[ Lyrics from: Get Up, Stand Up Lyrics - Bob Marley ]
Get up, stand up! (jah, jah! )
Stand up for your rights! (oh-hoo! )
Get up, stand up! (get up, stand up! )
Don't give up the fight! (life is your right! )
Get up, stand up! (so we can't give up the fight! )
Stand up for your rights! (lord, lord! )
Get up, stand up! (keep on struggling on! )
Don't give up the fight! (yeah! )

We sick an' tired of-a your ism-skism game -
Dyin' 'n' goin' to heaven in-a Jesus' name, lord.
We know when we understand:
Almighty god is a living man.
You can fool some people sometimes,
But you can't fool all the people all the time.
So now we see the light (what you gonna do?),
We gonna stand up for our rights! (yeah, yeah, yeah! )

So you better:
Get up, stand up! (in the morning! git it up! )
Stand up for your rights! (stand up for our rights! )
Get up, stand up!
Don't give up the fight! (don't give it up, don't give it up! )
Get up, stand up! (get up, stand up! )
Stand up for your rights! (get up, stand up! )
Get up, stand up! (... )
Don't give up the fight! (get up, stand up! )
Get up, stand up! (... )
Stand up for your rights!
Get up, stand up!
Don't give up the fight! /fadeout/

God is a living man, means God Lives in men...
 
wa bongo bhana mtu hameshakufa tuna mzungumzia halikuwa hanamuhabudu nani .jamaa tufanyeni kazi tuhachane hizi blaa blaa blaa hazina mahana
 
This man is really an ICON just read below;
[h=1]"I don't stand for the black man's side, I don' t stand for the white man's side.I stand for God's side."
"I'm a man of God and me come to do God's work.
"[/h][h=1]"Man can't do without God. Just like you're thirsty, you have to drink water. You just can't go without God."
[/h] Bob Marley quotes
 
This man is really an ICON just read below;
"I don't stand for the black man's side, I don' t stand for the white man's side.I stand for God's side."
"I'm a man of God and me come to do God's work.
"

"Man can't do without God. Just like you're thirsty, you have to drink water. You just can't go without God."

Bob Marley quotes
Bob was a prophet, RIP Robert Nesta Marley!!!
 
Kama thread imeanzishwa kwa tittle kama hiyo kuna walakini wa muanzishaji wa thread Kiranga kuwa na upeo finyu juu ya bob marley and Rastafarians life and beliefs.

naungana na Osaka kwamba huna uhakika na unachoandka!

Kwanza bob siyo rastafarian icon kama unavyosema......! kwanza rastafarians wamegawanyika zaidi ya makundi matano na yamekuwa yakiongezeka siku hadi siku kutokana na matakwa ya kundi husika au mtu fulani. lakini the true rasta waliokatika maandiko wanatumia mwongozo wa MELCHizedek oder ambayo imepigwa marufuku na serikali za kibabilon ambayo ina sheria ngumu sana ndani yake na nivigumu kuimplement katika serikali za sasa ndio mana yakafanywa maboresho (amendment) wakaanzisha nayabhing order ambayo ikapunguza sehemu zinazokinzana na serikali pia hii inasheria ambazo baadhi ya watu wanaopenda imanin ya rasta wanashindwa kufata baada ya hapo wakaanzisha bob chant dio kundi ambalo bob marley yupo ambalo kundi hili wanakula white meat, bob marley alikuwa rastafarian musian hivo alitangaza rasta bilief (pan-ethiopianism) na siyo prophet kama ulivoandika. ila prophet wao ni haille selassie ambae alizaliwa 1892 hapo ethiopia na walikuja kugundua kuwa ni simba wa yuda baada ya miaka 30 baada ya kuambiwa na marcus gurvey wa BAM( BACK TO AFRIKA MOVEMENT) NA UNIA 1920s

rasta wa khizo ni kanuni ambazo weli anafata
1 rasta anaishi kristu hivo anamjuaa mungu
2 anafunga nadhiri yawezekana kuto fanya ngono hata miaka 30, kuto kula chakula kilicho pikwa kwa miaka hata 20,
3 anafata taratibu za sacrament ambazo ni kumi na sacrament ya 7 ni marijuana
4 ni mkombozi (cheguvala, haille selassie, marcus gurvey, )
4 mwanaharakati(walijenga chuo cha kwanza afrika sankore university)
5 rasta anauelewa wa hali ya juu sana, kwa mfano vitu mnavovijua leo rasta alishatanmbua muda mrefu sana mfana fremasons the true religious church and origin kwa sababu kuna upotoshaji katika maandiko
6 anauwezo mkubwa wa kufanya meditation kutokana na mfumo wa chakula na worship style kama heart beat

mwisho naweza sema rasta amekuwa akionekana kama ni mtu asiye na akili ila yeye anakuonea huruma jinsi ambavyo hatuelewi mifumo ya zam,a za uharibifu. pia siyo kila mwenye dread ni rasta la hasha hapana. ila kwa ushauri kwa wale wanaotaka kujifunza zaidi tafuta vitabu soma juu ya (pan ethiopianism) au kama mpo tanzania dar es salaam nenda ubungo shamba darajani uliza machinga yeyote rasta tabbanaco wapi basi utaelekezwa, au mbezi beach camp david house, mtongani temeke, segerea centre na gezaulole baada ya kigamboni.
 
Last edited by a moderator:

hebu fafanua kwa lugha nyepesi kidogo hapo kwenye blue mkuu
 
Ukisema Bob si rastafarian icon napata mashaka kama unaelewa rastafari ni nini au icon ni nini.

Possibly huelewi vyote viwili.

Unasema Bob si rastafarian icon, halafu hapo hapo unasema Bob alikuwa rastafarian musician aliyetangaza rasta belief.

Hivi hata wewe mwenyewe unajua unachotaka kusema ni nini?
 
MUNGU yupo na mungu wa dunia hii yupo,kwa bob na wengine mnaamini katika mungu wenu lakini MUNGU yeye ni wa kuaminiwa haitaji mtu kumwamin,umwamin uache Yeye ni wa kuaminiwa
 
Attachments

  • 1426320670887.jpg
    1426320670887.jpg
    56.3 KB · Views: 187
Last edited by a moderator:
Bob didn't die a rastafarian, he converted to orthodox christianity few months before his death, he was given the name Berhane Sellasie.

Rastafarians Worship Haille Sellasie as god

He, himself Haile Selasie, told the rastas to stop worshiping him because he is not God.

So bob died a christian not a rastafarian.

All the time when the Rasta mention the word Lord or Jah, they mean Haile Sellasie.

So it is a man worshiping lifestyle/religion
 
.........

We sick an' tired of-a your ism-skism game -
Dyin' 'n' goin' to heaven in-a Jesus' name, lord.
We know when we understand

""Almighty god is a living man""

You can fool some people sometimes,
But you can't fool all the people all the time.

.........

hebu pitia hizo verses kabla na baada ya hiyo sentensi ikupayo sintofahamu..tafakari maudhui ya hizo verses kabla na baada.

ili mtiririko wa beti ulete maana moja, Je waona hiyo sentensi ni 'statement' ama ni 'question'..?

huoni kwamba huyo 'living man' anaemuongelea hapo ni Jesus?..
ambapo awali anasisitiza kuchoshwa na hekaya juu ya Jesus kuwa ni Mungu..?!..

sasa ruka uende hapo mwisho anapomalizia..juu ya kuwadanganya watu kama anavyodai muimbaji/mtunzi..

baada ya kutafakari hayo maneno rudi umfahamu Peter Tosh juu ya Imani yake ya U rastafari..

Maana ifahamike si rastafari wote wanaamini kitu kimoja..naweza sema hata wao wana madhehebu tofauti pia..
....
I stand to be corrected,,maana hizi lugha za kuja na majahazi zina mtihani.
 
huoni kwamba huyo 'living man' anaemuongelea hapo ni Jesus?..
ambapo awali anasisitiza kuchoshwa na hekaya juu ya Jesus kuwa ni Mungu..?!..

Huyo si Yesu bali ni Haile Selassie.
Marasta wana amini kuwa mungu alirudi tena duniani kupitia mwili wa Haile Selassie.
 
I used to be a huge fan of Bob music, but when I realized that it promotes the worshiping of the mortal, a human being, a created but not a creator, I mean Haile Sellasie, I started to discredit the religious message he was propagating, because it was a pure blasphemy!.

However i still like his "romantic songs" such as stir it up, lively up yourself, mellow mood
 
I used to be a huge fan of Bob music, but when I realized that it promotes the worshiping of the mortal, a human being, a created but not a creator, I mean Haile Sellasie, I started to discredit the religious message he was propagating, because it was a pure blasphemy!.

I would agree with you, as far as worshiping a human being is concerned. However, most religions have some element of Human Worshiping, and Christianity is not an exception.

I am a non believer, but if I am forced to have a religion, then I would choose to be a Rasta and worship an African god rather than a Eurocentric/Jewish god. In fact, I see Marcus Garvey's message a million time more important to my situation that the gospel of Jesus! Anyway, that is a different discussion.

So keep listening to reggae music and ignore the recitations to Jah (Haile Selassie). You know they say the impact of reggae music is not in the Albums/CD sales, but in the eyes it opens. If you listen to the song War and Redemption Song by Bob Marley, or Dis Poem by Mutabaruka, then you will know what I mean. My 9 years old son is a big fun of Mutabaruka, and he understands the message!
 
Back
Top Bottom