Bob Marley aliamini Mungu kweli?

Bob Marley aliamini Mungu kweli?

This explanation, in the context of Bob's lyrics and some denominations of Rasta, makes a lot of sense.

Ndiyo maana ame reject maneno ya mhubiri kwamba "great god will come from the sky" (ujio wa pili wa Yesu) kama uongo tu. Basically anasema hata wewe unaweza kuwa Yesu hapa hapa duniani katika line ya "If you kow what life is worth, you will look for yours on earth". You have a riight to live a full life, and not to be subservient to some unseen god in the sky "and now you see the light, stand up for your right".

Watu wengi wanauchukulia wimbo huu kuwa unaishia kuongelea kuhusu political oppression, wich is the easier message to grasp - the oppression of colonialism, neo-colonialism, North/South imbalance etc- lakini wimbo unagusa self emancipation kutoka minyororo iliyo deeper kliko hiyo political oppression, minyororo kama dini na imani ya mungu aliye mbinguni, minyororo ambayo inatumiwa na hao hao wanao oppres watu politically.

Nakubaliana nawe mkuu, get up stand up ni kama aliona namna watu wanavoingia mkenge na kuvizwa fikra kwa sababu ya dini (kumbuka kama Tosh alikuwa mwimba kwaya).Dini hapa ilionekana wazi kutumika (tunaona hata Africa,,ujaji wa missionaries and the spread of"word of God"),Ndiyo maana wanasema "You preacher man....", "Most people think that God will come from the sky......" ni mafundisho wahubiri walikuwa wakiyatoa wakiaminisha watu kuna siku ya mwisho ambapo atashuka na mawingu(Bwana) na kutwaa watu,,matokeo yake watu walikuwa wanaelekea zaidi ktk mentally slavery ya hatari!!
 
Ila watu..! Kwa hiyo we kiranga unataka kila mtu aamini unachoamin? Track ni ya ukwel. Nadhani ulitaka usikie unayowaza but tafakari. The man was an african spiritually. Na hata mimi naponda dini zenu
 
Everybody belive in GOD in different manner that why other call him,ALLAH,JAH,JESUS GOD,BUDHA,INDUS E.TC.We Africans we have been planted by the image of JESUS GOD Philosophies of which made us think other belives are devor philosophies which is not true that why whoever go beyond Jesus philosophy must be...............and should be.....
Lastly every man have right to decide on his/her destiny regards everything on earth without distubing others.
 
Kiranga katika maisha ya kiujumla ya Bob Marley ni wapi pengine ama alitamka au aliimba kuonyesha hamuamini Mungu?
Unataka kutuaminisha kuwa kwa mashairi hayo tu ya Peter Tosh basi ni ushahidi kuwa Bob alikuwa hamuamini Mungu?
Maana umejaribu kutengeneza picha ionekane alichoimba Peter Tosh ndio masimamo wa Bob kitu ambacho si cha kweli kabisa, kila mtu ana uhuru wa kuimba kile anataka na si mkuu wa bendi anaamua uimbe nini

Kimsingi maisha ya Bob kiujumla yalitawala kuonyesha atambua na kuamini uwepo wa mungu kupitia dini zake, na ndio maana hata katika maongezi yake alimtaja sana, alitembea kila mahali na Bibilia na ana nyimbo zaidi ya 20 zinazo mtaja Mungu ama zina tumia mistari ya kitabu hicho kitakatifu cha Bibilia..............je haya yote yamefutwa na mistari ya Peter Tosh. I DONT THINK SO

Anyway maswali ya msingi ni tujiulize je Bob Marley alikuwa anafuata imani gani?............
Alianza kuwa mkristo kwa kuzaliwa
Kisha akafuata imani ya Rastafarian
Na mwishoni kabisa akabatizwa kuwa mkristo siku chacha kabla ya kifo

Kimsingi imani zote alizopitia zinatambua na kuamini katika Mungu kwa njia tofauti(hata wasabato,waroma, jehova witness wanaamini katika Mungu na kitabu kimoja lakini katika misingi tofauti)
Rastafarian wanaamini katika Mungu kupitia zaidi kwenye Agano la kale na wanamisingi yao

Nadhani si sahihi ku conclude ati Bob alikuwa haamini katika Mungu kwa msatari huo wa Peter Tosh badala ya kuangalia historia nzima ya maisha yake na kile alicho kiamini na namna hicho alicho kiamini kilivyo effect maisha yake hadi kwenye nyimbo zake, matendo yake nk
 
Last edited by a moderator:
Everybody belive in GOD in different manner that why other call him,ALLAH,JAH,JESUS GOD,BUDHA,INDUS E.TC.We Africans we have been planted by the image of JESUS GOD Philosophies of which made us think other belives are devor philosophies which is not true that why whoever go beyond Jesus philosophy must be...............and should be.....
Lastly every man have right to decide on his/her destiny regards everything on earth without distubing others.

"Everybody" is such a sweeping generalization, wewe umejuaje hili? Una ushahidi gani kwamba kila mtu anaamini mungu?

Mbona mimi siamini katika kuwako kwa mungu?
 
paulss

Kuna watu wanaamini katika mungu kimila zaidi. Huwezi kutaka kuwa rais wa Marekani, au Papa au muimbaji mkubwa wa Reggae, halafu ukasema huamini mungu. Utakuwa unanyea kambi. Ndo maana utakuta katika mi chant ya "Jah Rastafari" unapenyezewa lyrics kwamba habari za mungu ni geresha za wachungaji tu, mwenye masikio na asikie. Sasa hayo makanisa yote unayoyasema kuanzia hilo la Ethiopian Orthodox alilobatizwa mpaka Rome huko, wote ndo hao preachers aliowalambast.

Mtu anayeamini katika mungu "per excellence" hawezi kuweka mistari kama hiyo katika wimbo wake, na wala hawezi kubatizwa kiharakaharaka kwenye deathbed ili kusudi hata watakaohoji uratsa wake baadaye wambiwe "yule alikuwa Rasta mpaka kubatizwa kabatizwa Ethiopian Orthodox". Kama aliamini mungu maisha yake yote kwa nini aende kubatizwa kwenye deathbed?
 
Kwa sababu Ethiopian Orthodox ni kanisa la H.I.M HAILE SELASSIE ambaye bob alimuona kama ni Mesiah King. Na utambua kuwa Bob alisema. Kubatizwa E.O.T.C haimaanishi he is not a rasta. ALL rastas believe in God as Jah/YHWH/JAHOVIA the God of Iesraeli. Rastas wanaposema 'personal God' wanamaanisha falsafa ya ''I and I''. Kwamba spirit of God is Inside me, thats why nikikutendea ubaya nimemtendea na Jah kibaya kwa kuwa roho yake ipo ndani ya kila mwanadamu. Thats why All people are equar, regardless religion or race. Boa Alikuwa anaamini Mungu yupo, na alikuwa msomi mzuri wa bible na mistari yake mingi alikopi kwenye bible. Hii topic tulishaimaliza, someni comments za kale kwa ufahamu.

Most of Rastas wanabatizwa Katika Ethiopian Tewahedo kwa kuwa ni kanisa la H.I.M. Mfano Peter Tosh na mimi, but sio lazima kubatizwa huko, ni uamuzi wa mtu.
 
Falsafa ya "I and I" na "the spirit of god is inside me" ukiiangalia kwa jicho la tatu utagundua inakataa kumuamini mungu aliyeko mbinguni, na inakuambia kwamba man is as close as you can get to god, hence "I and I" I moja ni mungu, na nyingine ni mimi, na mimi ndiye mungu (kwa maana mwenye mamlaka juu ya mazingira kwa kiwango cha akili yangu) kwani hakuna mungu wa mbinguni.

Kwa hiyo inamtaka mtu achukue personal responsibility, atafute uzuri hapahapa duniani badala ya kusubiri ahera ambayo haipo.

Kuna wasomi wa theology wanasema hata Yesu alipojiita "mwana wa mungu" hakumaaanisha kwamba uana wa mungu wake ni special in any case, na kwamba binadamu wote ni "wana wa mungu". Fumbo kubwa, kwa sababu kama hakuna mungu, na mungu kasemwa ontologically na Anselm kwamba ni the idea of the greatest good, basi duniani the epitomy of that wonder is found in man's ability to reason, hence "mwana wa mungu". Wewe na mimi. I and I.

Ukishamkataa mungu anayekaa mbinguni na kumpitisha mungu aliye ndani yako, kusema "spirit of god" ni humility tu, what you really mean is man's reason is supreme among the known and empirically falsifiable processes.

But if you know what life is worth,
You will look for yours on earth:

Anayeamini mungu wa ukristo anaukana ulimwengu huu na kufikiri uzima wa milele mbinguni, Bob anaenda kinyume na kanisa anasema sahau habari ya mbingu, anza hapahapa duniani kula good time na kuishi vizuri.

Na kuwa msomi mzuri wa Bible hakumaanishi kwamba unaiamini sana kama vile kuwa msomi mzuri wa riwaya za Shakespeare hakumaanishi kwamba unaziamini sana.

Kwa hiyo wewe rasta unaamini Haile Selassie mungu?
 
Nimekusoma na nimekuelewa kwa umakini mkuu.

Kasome vizuri falsafa ya I'nI utaelewa maana hujaitambua bado. Kwa kifupi, Roho wa Mungu yupo ndani ya kila kitu, unapoambiwa ure the image of God, haina maana una kichwa, miguu au sura kama ya Mungu, bali Tunatambua Mungu ni Roho, hana sura, hana mwili wala haonekani, hivyo u have the image/roho wa Mungu ndani yako na wakristu wanatambua maana ya Roho Mtakatifu, ni roho wa Mungu ambaye anakaa ndani Yetu, sema tunatofautiana kumtambua na kumtumia. Kama huamini uwepo wa Roho wa Mungu ndani ya mwanadamu is up to you, hujalazimishwa, unaweza kuendelea kuamini Mungu yupo tu angani/mawinguni.

Kusoma Biblia sio njia ya kuokoka, i know that, unaweza ukaisoma mwanzo mpaka mwisho ukapata Negative thoughts, kama hujakubali Roho wa Mungu ndani yako akuongoze.

Kwa kukujibu simple, Im a Nazarite, who follows laws of Judaism.
I believe in YHWH, i believe in YAHSHUA. Also I RESPECT the root of king DAVID, God alishasema ''He will sit on the throne of David'' kuwatetea watu wake mpaka mwisho wa dunia.
I Respect Ethiopian Monarch which came from Solomon and Queen Makheda. I honour Ethiopia as a blessed place with the Ark Of Covenant and the origin of Mankind (Im Archaeologist, i understand that) and Much respect also to Lalibela.
I respect humanity, mother Earth, Africa, My body as first temple, with Love and being Natural.
That is my spiritual lifestyle

ONLY YHWH CAN JUDGE ME, NOT ANY HUMAN BEING.

Respect!
 
tatizo lako mara zote unamchukua huyo mungu unaysema ana super natural alafu untaka apeform kwa vigezo na standard zako za kibinadamu. Hata wewe ungekuwa mungu bado "binadamu" tungeona flaw hata hayo matatizo yote yasingekuwepo.

Matatizo yote unayoyaleza wala hayaitaji msaada na intevention za mungu. Mungu alimaliza kumpa binadamu ubongo amboa ni better na wanyama wengine.

Hapo umeongea vema watu wanamchukulia mungu kwa uwezo wao wa kufikiri, Mungu ametumba na ubongo na uhuru wa kutumia bongo zetu ilitujiandalie better life na kama angetuumba akaweka kila kitu sawa kwa au kama robot hata tusingefurahia maisha.
 
Nimekusoma na nimekuelewa kwa umakini mkuu.

Kasome vizuri falsafa ya I'nI utaelewa maana hujaitambua bado. Kwa kifupi, Roho wa Mungu yupo ndani ya kila kitu, unapoambiwa ure the image of God, haina maana una kichwa, miguu au sura kama ya Mungu, bali Tunatambua Mungu ni Roho, hana sura, hana mwili wala haonekani, hivyo u have the image/roho wa Mungu ndani yako na wakristu wanatambua maana ya Roho Mtakatifu, ni roho wa Mungu ambaye anakaa ndani Yetu, sema tunatofautiana kumtambua na kumtumia. Kama huamini uwepo wa Roho wa Mungu ndani ya mwanadamu is up to you, hujalazimishwa, unaweza kuendelea kuamini Mungu yupo tu angani/mawinguni.

Kusoma Biblia sio njia ya kuokoka, i know that, unaweza ukaisoma mwanzo mpaka mwisho ukapata Negative thoughts, kama hujakubali Roho wa Mungu ndani yako akuongoze.

Kwa kukujibu simple, Im a Nazarite, who follows laws of Judaism.
I believe in YHWH, i believe in YAHSHUA. Also I RESPECT the root of king DAVID, God alishasema ''He will sit on the throne of David'' kuwatetea watu wake mpaka mwisho wa dunia.
I Respect Ethiopian Monarch which came from Solomon and Queen Makheda. I honour Ethiopia as a blessed place with the Ark Of Covenant and the origin of Mankind (Im Archaeologist, i understand that) and Much respect also to Lalibela.
I respect humanity, mother Earth, Africa, My body as first temple, with Love and being Natural.
That is my spiritual lifestyle

ONLY YHWH CAN JUDGE ME, NOT ANY HUMAN BEING.

Respect!

Kwanza, kuiita expression ya "I n I" falsafa ni kuipaza.

"Roho" ni lugha ya ushairi zaidi kuliko uhalisi. Ndiyo maana yenyewe na dini/ falsafa inayotokana nayo inaweza kuwa kitu chochote kwa mtu yoyote.

Kwa mujibu wako mungu hajulikani na binadamu, lakini hapo hapo binadamu wameweza kujua kwamba wao ni mfano wa mungu, wamejuaje? Wakijua kwamba wanafanana na mungu basi maana yake mungu anajulikanika, mungu akiwa hajulikaniki ki hivyo maana yake hata wanadamu wanaosema wameumbwa kwa mfano wa mungu ni wazushi tu.

Roho wa mungu utamjuaje wakati roho hajulikani kibinadamu?
 
Unaweza kuuliza kwa nini kichwa cha thread hii kiwe muhimu. Unaweza hata usiwe mtu unayemsikiliza Bob Marley, lakini ukweli unabakia kuwa huyu jamaa ni icon. Mpaka leo kutoka, Brooklyn Bangladesh mpaka Bulyankulu, Tanangozi, Texas mpaka Tahrir watu wanamuelewa.

Kwa kuwa huyu ni mtu mwenye gravita hiyo, na Rastafarians wanaamini mungu, na yeye ndiye icon wao, nakuwa na maswali.

Kuna sehemu anaonekana kama anaamini mungu, mathalani katika makala ya Birmingham Post mwaka 2008 alinukuliwa kusema (check the Wiki)

I am not sure on whether he was dipping into a specific god or the Einstenian "great unknown" "god does not play dice", metaphoric god.

The Rutherford "Onward Christian soldiers" while deconstructing the structure of the atom "god".

Halafu tena, kwangu mimi, kamtaja god huyo huyo in a very liberating manner kwa sisi tusioamini, katika wimbo wake "Get Up, Stand Up". It should be noted muimbaji wa kipande chenye mvuto zaidi -angalau kwangu- katika wimbo huu ni ni Peter McIntosh.

Lakini kwa nini Tosh alisema "Almighty God is a living man"? Kwa nini Bob aliyekuwa kinara wa bendi aliruhusu mashairi haya yachapwe kwa jina lake?

Je, Bob Marley na Peter Tosh hawakuamini kuwapo kwa mungu na waliamini kwamba idea nzima ya "mungu" ni kazi ya wanadamu walioishi kama sisis na ndio maana wakasema "Almighty god is a living man"

"Almighty God is a living man" for god's sake, hivi mamilioni ya nakala za wimbo huu zinaposikilizwa watu huwa wanaelewa hiki kipande au wanaruka tu?

Wimbo wote huu hapa chini.'

Get up, stand up: stand up for your rights!

Get up, stand up: don't give up the fight!

Preacher man, don't tell me,
Heaven is under the earth.
I know you don't know
What life is really worth.
It's not all that glitters is gold;
'Alf the story has never been told:
So now you see the light, eh!
Stand up for your rights. come on!

Get up, stand up: stand up for your rights!
Get up, stand up: don't give up the fight!
Get up, stand up: stand up for your rights!
Get up, stand up: don't give up the fight!

Most people think,
Great god will come from the skies,
Take away everything
And make everybody feel high.
But if you know what life is worth,
You will look for yours on earth:
And now you see the light,
You stand up for your rights. jah!
[ Lyrics from: Get Up, Stand Up Lyrics - Bob Marley ]
Get up, stand up! (jah, jah! )
Stand up for your rights! (oh-hoo! )
Get up, stand up! (get up, stand up! )
Don't give up the fight! (life is your right! )
Get up, stand up! (so we can't give up the fight! )
Stand up for your rights! (lord, lord! )
Get up, stand up! (keep on struggling on! )
Don't give up the fight! (yeah! )

We sick an' tired of-a your ism-skism game -
Dyin' 'n' goin' to heaven in-a Jesus' name, lord.
We know when we understand:
Almighty god is a living man.
You can fool some people sometimes,
But you can't fool all the people all the time.
So now we see the light (what you gonna do?),
We gonna stand up for our rights! (yeah, yeah, yeah! )

So you better:
Get up, stand up! (in the morning! git it up! )
Stand up for your rights! (stand up for our rights! )
Get up, stand up!
Don't give up the fight! (don't give it up, don't give it up! )
Get up, stand up! (get up, stand up! )
Stand up for your rights! (get up, stand up! )
Get up, stand up! (... )
Don't give up the fight! (get up, stand up! )
Get up, stand up! (... )
Stand up for your rights!
Get up, stand up!
Don't give up the fight! /fadeout/

Maisha ya Bob Marley ndiyo yaliyozaa mashairi yake. Akiwa upande wa mtu mweusi daima aliumizwa na namna maisha ya mtu mweusi yalivyokuwa mabaya kutokana na mfumo gandamizi uliojengwa kwa miongo na miongo. Katika wimbo huu ana wa hamasisha Watu weusi kupigania haki zao pasipo kujali ni ghiriba gani wanayoletewa na wahubiri wa uongo. Kutokana na kuwa dini ilitumiwa na Mzungu kama chombo cha kuendeleza mfumo gandamizi, Bob Marley hakusita kuwashambulia wahusika kwa wimbo huu.
Kwa hiyo suala la Bob Marley kuamini katika Mungu binafsi silioni kupitia wimbo huu mmoja ambao nimeutolea mantiki yake hapo juu. Kuna nyimbo zake nyingi sana zenye kuonesha alivyokuwa karibu na Mungu kiasi cha Mungu kutomtupa na kumfanya icon kwa kumshushia mashairi yenye hekima, na mafunzo ya kupendana kama wanadamu. Mfano wa baadhi ya nyimbo zake nyingi kuhusu Mungu ni kama Give thanks and Praise, Jah Live, Thank you Lord, Positive Vibration,One Love, God of all Ages, n.k.

Nadhani ni vyema kutomuhukumu Bob kwa wimbo huo mmoja na badala yake fikiria nyimbo nyingine makumi kwa makumi (kama sio nyimbo basi katika moja ya nyimbo zinginezo utakuta mistari yenye kuonesha hofu yake na ukaribu wake pia na Mungu).
Aksante, Amani na Upendo na viwe nawe.
 
Shukuran mkuu,

Unajua wasanii wakubwa wana namna yao ya kutoa jumbe zilizojificha ndani ya jumbe. Ndo maana unaweza kuangalia mchoro wa Da Vinci kwa juu juu usipate maana, baadaye ukatafsiriwa ukaambiwa hapa kuna maana ndani ya maana.

Ukiamini kwamba Bob Marley anaamini katika mungu kwa sababu ya nyimbo zake hizo nyingine, basi ni lazima utatizwe na Get Up Stand Up. Unless useme Bob alikuwa ana appease the religious massive in Jamaica, alipochoka akajionyesha makucha yake halisi katika "Get Up Stand Up".
 
tatizo lako mara zote unamchukua huyo mungu unaysema ana super natural alafu untaka apeform kwa vigezo na standard zako za kibinadamu. Hata wewe ungekuwa mungu bado "binadamu" tungeona flaw hata hayo matatizo yote yasingekuwepo.

Matatizo yote unayoyaleza wala hayaitaji msaada na intevention za mungu. Mungu alimaliza kumpa binadamu ubongo amboa ni better na wanyama wengine.

Either god is infinitely unknowable due to being infinitely perfect or knowable.

If god is infinitely unknowable, any notion you may have of god is wrong.

If god is knowable at all, by virtue of being knowable and comprehensible by the human mind, he cannot be the pinnacle of perfection (infinitely perfect) and therefore he cannot be god.

Either way, your notion of god is wrong.

And of course there is the argument for the non existence of god.
 
Ila watu..! Kwa hiyo we kiranga unataka kila mtu aamini unachoamin? Track ni ya ukwel. Nadhani ulitaka usikie unayowaza but tafakari. The man was an african spiritually. Na hata mimi naponda dini zenu

To the contrary, mie sitaki mtu yeyote aamini at all.
 
For all we know Bob was using "God" as an euphemism for "Good" "Justice" "Truth"....

Na ndiyo maana alikataa habari za kusubiri uzima wa milele mbinguni.
 
Nadhani ni vyema kutomuhukumu Bob kwa wimbo huo mmoja na badala yake fikiria nyimbo nyingine makumi kwa makumi (kama sio nyimbo basi katika moja ya nyimbo zinginezo utakuta mistari yenye kuonesha hofu yake na ukaribu wake pia na Mungu).
Aksante, Amani na Upendo na viwe nawe.

Nadhani hapa mkuu umeongea Point. Badala ya mtu kukaa na kumuhuku Bob na kusahau mengine mengi ni kama kupoteza tu muda. Nakumbuka kuna nyimbo kama

Thank you Lord,
Jah Live,
Exodus,
Rat Race,
Sun is shinning,
Afrika unite,
One Love,
Give Thanks And Praise,
Forever Loving JAH,e.t.c

Kama mtu unamsikiliza Tuff Gong na msikilizaji wa nyimbo zake huwezi kusema Bob hakumuamini Mungu (Jah).
 
For all we know Bob was using "God" as an euphemism for "Good" "Justice" "Truth"....

Na ndiyo maana alikataa habari za kusubiri uzima wa milele mbinguni.

Hahahahahaaa. Mkuu now ndio nimekuelewa. Kumbe unalazimisha kuwa Tuff Gong alikuwa anaamini unachokiamini wewe? Angekuwa anaamini hivyo Asingeitwa Rasta, NEVER!
 
Ukisema nalazimisha wakati ushaambiwa "for all we know" unatulazimisha tu doubt intelligence yako.

Halafu Tuff Gong hawezi kuamini ninachoamini mimi kwa sababu mimi siamini.

Asingeitwa Rasta? Rasta ni nini?
 
Back
Top Bottom