Bob Mtekama: FBI wa Malawi aliyekamata raia wetu huko Malawi

Aise uko vizuri, nitakutafta kazi unaiweza
 
mku uko vizuri
 
na mashaka na mleta mada kama hajatumwa na wamalawi kusifia askari wao na kutoa ramani ya uongo ya gereza ili kutuingiza king sisi maadui zao

ila kama ni kweli yaliyo semwa basi huyo askari ni threat kwetu hakuna namna ni kumuondoa tu , hapo KGB,M16 ,CIA zamani wangesha mrestisha in peace
 
sidhani kama wengi wenu mnamfahamu Kanali Mahafudh ambaye alikuwa komandoo wa Tanzania, Kipindi cha utawala wa awamu ya kwanza wakati Banda analeta chokochoko aliweza kuingia bila kujulikana hadi ikulu ya malawi na kumwonya Banda jinsi alivyoingia ndivyo atakavyorudi pale atakapoendelea kuleta chokochoko huyu jamaa ni kama wanampa sifa zisizo zake ni cha mtoto kwa kanali Mahafudh
 
Fafanua tafadhali
 
Ila kitendo cha kuweka izo data apa tayari umekua disqualify...mana watasoma na wataongeza ulinzi.
 
Aisee intelligensia imeshiba tena haswa vijana wa kazi nadhani umeshawatafunia wanaweza wakafanya claundistine mission kama tungekua USA yakuwakomboa mateka wetu !!
Sina hakika Taasisi kama Jeshi au usalama wa Taifa wanatumia taharifa za kimtandao kutekeleza majukumu, hofu yangu kwa mtoa mada asiwe naye jasusi wa malawi anataka kutupoteza maboya na kupata taharifa fulani fulani hivi! Maana amezungumza mambo milioni kidogo, mara Bob nani, jiografia na mengine kibao je lengo lake nini?
 
Hujafikiri bwana Mtekama anaweza kuwa informant pia wa Tanzania kwa yanayo endelea Malawi ? Hii dunia imebeba mengi
Halafu confirmation kwamba hao walio kamatwa ni wa kwetu umezipata wapi ?
 
Habari za kitoto, intelijensia ya Tanzania iko way superior.

Sasa hivi wanaijuwa Malawi millimeter by millimeter.

Usiwajaribu.
wala sijakataa, ni kweli kuwa TISS ni way superior, nimefanya hivi kwa mapenzi yangu kwa Tanzania yetu. TANZANIA hulindwa na askari wema na raia wema pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…