Bob Mtekama: FBI wa Malawi aliyekamata raia wetu huko Malawi

Ndo jukwaa hili linanifanya naendelea kubakia jamii forum. Japo wakongwe wamekimbia miye nimo tu...!! Safi sana mleta mada..taarifa zimefika.
Baba yako alikufundisha vyema..tuipende Nchi yetu Tanzania.
shukrani wakuu, usalama wa Tanzania utaendelea kuwa mzuri kwa kuwaandaa watoto kuwa raia wema wa baadae.
 
Habari za kitoto, intelijensia ya Tanzania iko way superior.

Sasa hivi wanaijuwa Malawi millimeter by millimeter.

Usiwajaribu.

Hakuna chochote cha maana alichoandika mtoa mada, info zote hizo zipo online au hata kwenye google earth unapata mpaka topography, drainage system, forest nk
 
Military base iliopo Mzuzu inaitwa Moyale balaks,ipo umbali wa kilomita tano toka katikati ya mji wa Mzuzu,Ni kambi ya wastani tu. Kutoka karonga kwenda Mzuzu kuna kambi hapo kati inaitwa Chilimba balaks nayo sio kubwa kivile sehemu inaitwa chilumba kabla ya kupanda mlima chiweta.
 
safi mkuu kwa kuongezea.
 
Mleta Uzi uko vizuri! Maelekezo yako ni makini!
Yaani huna cha kuhoji kwenye uzi wake?

156km utumie saa 2:45?

Hiyo ni gariiiii au trekta???

Kama hapo umezingua taarifa nzima inakuwa mbovu.
 
Safi mkuu.Hapo ndio wajua kuwa tunawajua nje ndani.Uzalendo kwanza,Tanzania moja.
 
Hakuna chochote cha maana alichoandika mtoa mada, info zote hizo zipo online au hata kwenye google earth unapata mpaka topography, drainage system, forest nk
kwani online siyo mahala sahihi pa kupata habari? hata hivyo siyo kila kitu hupatikana online.
 
Wakuu msiwe na hofu huyo Stambuli Mtekama chunguzeni asili yake na kizazi chake msiwe na hofu nae hana madhara kwetu ndio maana alipitia ZNZ katika harakat zake za kimaisha punguzen mihemko mtaharibu mambo.
 
Kama toka utawala wa awamu ya kwanza sasa atakua ashakua mzee
 
Nadhani huna unalofahamu kuhusiana na kazi za jasusi. Jasusi huwa hadharau taarifa yeyote ile, iwe kubwa au ndogo ya kweli au ya uongo. Aipatapo huifanyia kazi ili aone kama INA madhara kwa ustawi wa nchi
Nadhani kama majasusi wangekuwa wachoma mahindi kama wewe basi mipaka yetu ingekuwa uchi.
 
wanatafuta wataalamu wa vyeti tu, wakupe kazi, unaweza kuwa msaada kwenye kitengo cha Intelejesia. Ingawa nimehisi kwamba kuziweka hizi data hapa huenda kunaonesha sura tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…