πππ
Nyerere na Mtei walimuandaa Freeman Aikael Mbowe kuwa Rais wa Tanzania Nyakati za Ukoloni mpya wa Uwekezaji
Ndio sababu Mabwanyenye wa Chadema walisema hawana shida na Ikulu hadi muda muafaka utakapofika
2005 Freeman Mbowe alifanyiwa rehearsal
Sasa Wakati Ndio umefika ππ
Tundu Antipas Lisu aelewe hili