Bobbi Kristina Brown's family reportedly gathers to say goodbye!

Vijana wengi wa Amerika ni wahanga wa madawa ya kulevya na hasa hawa weusi.

Wengi wetu tuna amini kuwa Whitney alijifunza hii kitu toka kwa mumewe. Ukweli ni kuwa Whitney alianza kuvuta akifundishwa na kaka yake ambaye alikuwa pia rafiki yake wa karibu. Tena alianza kabla hata hawajakutana na Bobby.
 
1.We mtoto wa ilala acha ngada vuta sigara-madee

2.Amani kwa kaka voda mwambie mdogo ako aache poda ale mmea-babuu
 
Tevez lazima anahusika na hili tukio💩
 
So sad indeed, yaani bado mdogo kweli.......naumia kila nikisikia au kusoma jina lake. May our good Lord see her thru this difficult time.
 
So sad indeed, yaani bado mdogo kweli.......naumia kila nikisikia au kusoma jina lake. May our good Lord see her thru this difficult time.
AMEN!God have mercy on this little kid,give her another chance to live...
 
Reactions: Kbd
Maisha ya abroad magumu sana. T D Jakes alivyokuwa karibu na Whitney, si angemchukua huyu binti akampa msaada wa kiroho? Kweli maisha ya kiafrika mazuri sana
 
Maisha ya abroad magumu sana. T D Jakes alivyokuwa karibu na Whitney, si angemchukua huyu binti akampa msaada wa kiroho? Kweli maisha ya kiafrika mazuri sana

Angalia TMZ sasa hivi bibi ake kakutwa kwenye bath tub nae hoi.bibi mashuhuri muimbaji nae jina lake Dione Warwick
 
Angalia TMZ sasa hivi bibi ake kakutwa kwenye bath tub nae hoi.bibi mashuhuri muimbaji nae jina lake Dione Warwick

Huyu Dionne Warwick ni binamu yake na Whitney Houston so hawezi kuwa Bibi yake sababu anamuita Cicy Houston aunt.

Hii familia yote ni waimbaji tena wamepata umaarufu sana kupitia sanaa hii. Ukianzia na Aretha Frankling,Cisy Houston,Dede Warwick na Dionne Warwick na wengine wengi ila wana shida na ulevi.

Kwa wale vijana wa zamani kuna kundi maarufu sana 'Shalamaar' basi huyu Dionne Warwick alikuwa Lead singer mwanamke.
 
Duh inaelekea haka kafamilia ni ka-mateja.......

Angalia TMZ sasa hivi bibi ake kakutwa kwenye bath tub nae hoi.bibi mashuhuri muimbaji nae jina lake Dione Warwick

Duh inaelekea haka kafamilia ni ka-mateja.......

BADILI TABIA hizo ni laana za kwenye familia (Family curses) unakuta vifo vyao vinafanana fanana kwa kiasi kikubwa.

Ni mpaka mpate neema ya Mungu kuona hilo tatizo na kuvunja huo mnyororo otherwise itakula mpaka kizazi cha nne.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…