Mrigariga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 1,760
- 1,619
huyo binti huo ni mwanya au ni pengo?
Mbona hata Baba yake anao pia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyo binti huo ni mwanya au ni pengo?
i feel sory kwa kweli kabinti kazuri kweliAlianza kula mda sana cjui karithi kwa maza na dad wke so sad binti ndogo sana
i feel sory kwa kweli kabinti kazuri kweli
1.We mtoto wa ilala acha ngada vuta sigara-madee
2.Amani kwa kaka voda mwambie mdogo ako aache poda ale mmea-babuu
AMEN!God have mercy on this little kid,give her another chance to live...So sad indeed, yaani bado mdogo kweli.......naumia kila nikisikia au kusoma jina lake. May our good Lord see her thru this difficult time.
Maisha ya abroad magumu sana. T D Jakes alivyokuwa karibu na Whitney, si angemchukua huyu binti akampa msaada wa kiroho? Kweli maisha ya kiafrika mazuri sana
Angalia TMZ sasa hivi bibi ake kakutwa kwenye bath tub nae hoi.bibi mashuhuri muimbaji nae jina lake Dione Warwick
AMEN!God have mercy on this little kid,give her another chance to live...
Say no to drugs! Pamoja na haya yote lakini watu hawajifunzi lolote ndio kwanza wanaendelea kubwia tuu!
Angalia TMZ sasa hivi bibi ake kakutwa kwenye bath tub nae hoi.bibi mashuhuri muimbaji nae jina lake Dione Warwick
Huyu Dionne Warwick ni binamu yake na Whitney Houston so hawezi kuwa Bibi yake sababu anamuita Cicy Houston aunt.
Hii familia yote ni waimbaji tena wamepata umaarufu sana kupitia sanaa hii. Ukianzia na Aretha Frankling,Cisy Houston,Dede Warwick na Dionne Warwick na wengine wengi ila wana shida na ulevi.
Kwa wale vijana wa zamani kuna kundi maarufu sana 'Shalamaar' basi huyu Dionne Warwick alikuwa Lead singer mwanamke.
Duh inaelekea haka kafamilia ni ka-mateja.......