Bobby Brown na somo kwa wasanii wetu

Sawa, ila ikishakuwa jina huwezi kutanguliza 'a' , kwa sababu si anamuimbia Mtoto mzuri wa kuitwa Roni?
Hapana hilo sio jina la huyo mtoto. Basically alikuwa anasifia kitu so to speak. Tenderoni ni slang ya sifa za aina flani ya mtoto wa kike. So alifupisha na kuita Roni kunogesha, lakini halikuwa jina halisi la mtu bali ni KITU.
 
Ok,
 
Pia kuna kitu 'Roni' alivyomchambua Mtoto Roni, utamuelewa Bobby.....Roni ni ngoma yangu namba mbili baada ya 'Dont't be cruel'
Ilikuwa bonge la song, kati ya song zake kali tano nina uhakika Roni ipo.
 
Mambo ya kupokezana kijiti,hayaepukiki.
Kabisa, ila nilizungumzia zaidi kuwa na "clean sheet"

Alianza vizuri sana ila katikati akalikoroga, haswa alipokutana na bidada Whitney....inasadikika hata hayo madai ya "ghost" ni matokeo ya kuvuruga kichwa na 'midude' ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…